Kwanini wanawake wengi wetu hatupendani?

Kwanini wanawake wengi wetu hatupendani?

Siamini, wanaume wengi hawapendani ila unafiki unafanya wasijulikane. Wanawake katika hili si wanafiki ndio maana unaona hawapendani zaidi ya mamen..Siku ukitaka ,kujua wanaume hawapendani kaa nao halafu jaribu kumsifia mwanaume aliyefanikiwa utaipata habari yake!
 
yaan na mm nimeshangaa! wanaua mby yaan wanaume wenzao! bora kwa kulielewa hili!binafs mie niliona km hainihusu maana sinaga gubu za ajab ajabu nikuchukie kwann?eish!
 
Nyie Mara nyingi huwa mnapunguza machungu kwa kusemana pembeni, unakuta wakati mwingine umeagana na shoga yako vizuri tu. Ila akikutegea mgongo unaanza "huyu mshenzi nae sijui lini atanilipa hela yangu" na hapo unakuta unaongea hata na mwanao wa miaka mitano tu.

Sisi tunaweza kumdai mtu hata miaka miwili bila ya mtu mwingine yeyote kujua, unabaki unajiuliza tu mwenyewe "sijui atalipa huyu".
Nimechelewa kuiona Hii.Yaani Ni shida.Eti unaongea Na mtoto wako wa miaka 5.Hii Ni kweli kabisa
 
Halafu bado "wahenga" wanakomaa eti "fahari wawili hawakai zizi moja" nadhani its about time hao wahenga wakaingia tena bungeni kubadili baadhi ya hizo semi zao...
 
Back
Top Bottom