Kwanini wanawake wengi wetu hatupendani?

Muda mwingine ni mihemko isiyokiwa na hata chembe ya busara kidogo!

Kwa hiyo comment yake anaonekana tu huyo Englishlady ni mtu anaeongozwa na mihemko
Njoo Pm[emoji3]
 
Yes.Kuna wadada wapo poa sana.Ila wengiiiiii wetu Ni Balaaa.Tupunguze idadi basi.Naanza mimi
 
Ni shida kwa kweli
 
Halafu wote tajwa wanaelewana kinafiki au hawaelewan kabisa.
MTU unamsimulia jambo kwa wema tu.Atakavyoligeuzaa hutaamini.Kama amezaliwa Kibiti
 
Yes.Kuna wadada wapo poa sana.Ila wengiiiiii wetu Ni Balaaa.Tupunguze idadi basi.Naanza mimi

Yap!, sio wote wenye matatizo.
Poa poa basi, tuanze na..

#wadadatupendane#
 
Mkuu unaweza kusema ki maskhara lakini kuna wanaume wana mawazo ya hivi in reality.

Msipendane bana nyie tupendeni sie, mkitupenda siye tutawapa magari, nyumba, hela, meli, ndege n.k sasa mkipendana mtapeana nini kama si caro light
 
Msipendane bana nyie tupendeni sie, mkitupenda siye tutawapa magari, nyumba, hela, meli, ndege n.k sasa mkipendana mtapeana nini kama si caro light
Hahaha!, sawa bwana, sio kwa kutudharau huko lakini.
 
Msipendane bana nyie tupendeni sie, mkitupenda siye tutawapa magari, nyumba, hela, meli, ndege n.k sasa mkipendana mtapeana nini kama si caro light
Haaa haaaa Aleppo.Acha hizo Bana.Kupendana kwetu Ni faida sana
 
Ni ushauri jinsi ya kuishi kiume, kutunza chuki moyoni ni maradhi
Au Ndo Maana wanawake tu naishi miaka miiingii?? But kutema nyongo Na chuki Ni vitu viwili tofauti
 
Kwa wanaume hakukuwa na mabrazameni, wenye nyodo, wapiga misuli wala marioo wala suruali mkononi? Au chuo kilikuwa nje ya dunia? Hakuna hata mbinguni watu wanaofanana ila inapokuja ni wanawake na wanaume inakuwa ile ya kuku kujisaidia na bata kuharisha.
 
Au Ndo Maana wanawake tu naishi miaka miiingii?? But kutema nyongo Na chuki Ni vitu viwili tofauti
Nyie Mara nyingi huwa mnapunguza machungu kwa kusemana pembeni, unakuta wakati mwingine umeagana na shoga yako vizuri tu. Ila akikutegea mgongo unaanza "huyu mshenzi nae sijui lini atanilipa hela yangu" na hapo unakuta unaongea hata na mwanao wa miaka mitano tu.

Sisi tunaweza kumdai mtu hata miaka miwili bila ya mtu mwingine yeyote kujua, unabaki unajiuliza tu mwenyewe "sijui atalipa huyu".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…