Kwanini wanawake wanene wanakua rahisi kutongozeka?

Kwanini wanawake wanene wanakua rahisi kutongozeka?

Hiyo reseaech umefanyia mikoa gani na kwa wanawake wangapi?

Wanawake wengi wasomi sana,wenye hela na wazuri/warembo ni wagumu siku zote haijalishi ni mnene au mwembamba.
 
hakuna wanawake wanamvuto na soko kubwa km wanawake wanene haa haa haa mwanamke ushepu babu sio kitu kimekauka kila ukishika unashika mifupa mwanamke tako & steki

Mpaka nimetamani aisee,hebu tupia kata kapicha mkuu
 
we bonge una huakika na maneno yko...?? labda nikwambie kitu hakuna wanawakd wanavutia, n kupata shida za kusumbuliwa na wanaume km wanawake wanene tena bora ht mwanamke mnene kuliko mwanaume mnene binafsi sivutiwi nao kbs au mwanaume mweupe kinyaa
 
Mkuu una nafas kubwa ya kupata findings,wakat unawakaza jaribu kuuliza watakwambia
 
Watu wanene siku zote ni wavivu wa kufikiri! ndiyo maana huko ulaya hamna marais wanene
 
wale ni njia moja na hawanaga machaguo. na ukute ni mfupi afu mnene kama kipipa.
 
We mleta mada wawapi?mbona wanawake wanene ndo ishu ya mujini?binafsi nawafagilia sana na wakiamua kutulia kwa ndoa zao utawapenda bure. Ewe mwanamke unayejijua u mnene na hujapata mwenza tafadhali ni PM utakuwa umebahatika mume
 
Nyota yako imekaa kupendwa na wanene, lakini siyo warahisi hivyo, ufikiriavyo wewe.
Yawezekana kweli mkuu hata mimi nina bahati sana ya kukubaliwa na mabonge pamojam na wanawake wa kichaga na kaskazini kwa ujumla
 
Hiyo reseaech umefanyia mikoa gani na kwa wanawake wangapi?

Wanawake wengi wasomi sana,wenye hela na wazuri/warembo ni wagumu siku zote haijalishi ni mnene au mwembamba.

Ugumu/urahisi hautegemei urembo/uzuri/unene/wembamba/pesa. We na mtoa mada hamna tofauti!
 
hakuna mwanamke mgumu kwa experience niliyonayo sema tu ni kujua n nn anataka na umuingie kwa namna gan but all in all, all womens are equal.
 
Back
Top Bottom