Babati Yetu
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 374
- 120
Mie ni mwanamke mnene, nimeolewa, na si mrahisi kama unavyo sema, niko mwaka wa tano kwenye ndoa na nina miaka thelathini tuu(usije dhani kuwa mi ni kizee). Na sijawahi kuwa na mchepuko japo wapo wanifuatao
Kweli huwa wanajitangaza?