Grace Komba
Senior Member
- May 26, 2013
- 131
- 48
Mkuu Grace Komba samahani mkuu,wewe una kilo ngapi!?
290 na point 10 vipi ulikuwa unasemaje?
Last edited by a moderator:
Mkuu Grace Komba samahani mkuu,wewe una kilo ngapi!?
Ndo jibu la swali lake au ndo uTanzania halisi swali kujibiwa kwa swali?Kwani we mwanamke mnene?
second wanawake wanene huwa wanamuonekano wa heshima sn wastaarab tofati na vimbau vimbau asilimia kubwa huwa nimicharuko sn pia wanamanone mengi kifupi wanakuaga hawajatulia
Hiyo reseaech umefanyia mikoa gani na kwa wanawake wangapi?
Wanawake wengi wasomi sana,wenye hela na wazuri/warembo ni wagumu siku zote haijalishi ni mnene au mwembamba.
290 na point 10 vipi ulikuwa unasemaje?
Ugumu wa kitu unategemea "solvent" inyotumika. . . . . . .
Sijui ni kwaupande wangu tu, au ni kawaida. Ktk uzoefu wangu wa kutongoza, nimegundua kua wanawake wanene nikama wanangoja tu waambiwe nawao wakubali. Hiikitu ni tofauti kabisa kwa wanawake we mbamba (model) . Sasa tatizo ni nini? Kutojiamini au wamekua hawatongozwi mara kwa mara. Wenda ni malaya kiasili au wanajiona hawavutii machoni pa wengine, hivyo kuana nibora wakubali mapema ili jamaa asije akaghairi? Nimekua nikijiuliza bila kupata jibu sahihi. Nimeamua kulileta hapa mezani wenda wenyewe wakapita hapa na kulitolea ufafanuzi. Natanguliza shukrani.
gile na we kibonge nn?mwambie huyo