libeva
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 4,477
- 3,641
Ndio mkuu wanatulalamikia sisi eti kuna wanaume hawajui hata romance wakati ukimfanyia romance ndo muda mwingine unaharibu kabisa tena kama ndi DAWASCO kunakua na kelele kama kuna mafuriko kumbe... eti uko na mwanamke,ndio maana sasa hivi wanafika thelathini hawajaolewa hata kuolewa sabababu moja wapo ni milege kuongezeka ambayo inatufanya tusiinjoi hata kuinjoi mambo yetu yale....
Mzee ukipiga unasikia fokofoko.