Kwanini wanawake wanatofautiana sana ladha?

Kwanini wanawake wanatofautiana sana ladha?

Just kuokoa ndoa za watu hapa,, mwanamke joto lake la sehemu za Siri linabadilika kutegemea siku 28 za
Mzunguko ,, hivo hata test itatofautiana kutegemea na joto,,
Mfano kama kamaliza bld Jana joto huwa linakuwa limeshuka sana(wabalidi)ikiwa Yai lingine halijashuka.. Yai linapokuwa linakomaa joto pia hubadilika ,, na linapofikia mwisho wa kukomaa joto huwa kali na yeye huwa wamoto
NB ukiwa na uzoefu na girl m1unaweza jua ni lini unampa mimba.....acheni kuchepuka plzzz
Utamu unategemea jotoo
 
hata nyie ladha zenu, ujuzi na shombo pia tofauti....kila mtu aliumbwa tofauti
 
Utamu unategemea vitu vingi pia,mazingira,maandalizi,ufundi wa partner na kubwa zaidi ni hisia
 
We endelea kutafuta wenye ladha ila sku utakapoingia mikonon mwa wenye mali watakapokugegeda wewe utuletee mrejesho hapa ulisikia ladha gan
 
Kwa hiyo umekaaaa ukaamua uanzishe uzi wa namna hii? Tanzania ya lini sijui hii
 
Unatafuta tu sababu ya kuendelea kutafuna papuchi Kwa kisingizio cha kutafuta ladha tofauti tofauti ahahahahahah
 
Back
Top Bottom