Ili akijamba umsikie clear
huwa inampa mwanamke feeling zakuwa secured, hivyo hata yeye anakuwa na amani kifikra.
umeona eeh..
its so true.. mm huwa nalala kwa aman na furaha akiwa nyuma yangu.. feeels soo safeee.
Embu wekeni picha nielewa mnazungumzia nn.
Mmnhhhh joto la mwili
Linaingia ka kupitia nyuma?
Ndio laleta msisimko zaidi
Lahaula
Mi napenda kwa mbele nipate lkulaza kichwa changu kifuani
Labda uwe hujasuka rasta au weaving, maana hapo ataamka kifua kimejaa vitobo
Hahaha
Wengine hawana hata hayo mawowowo sasa..