Nashangaa to maana nijuavyo kama mmelala haijalishi ila kama mmejilaza alafu mko kwenye maongezi ni vizuri mkiwa mnaangaliana au mmoja kajilaza kwenye kifua cha mwenzake wote wakiwa wanaangalia juu.Vipi mshiki?
Bcos miili inakuwa much closer kuliko mkiangaliana. Ila hilo la ufupi umenichekesha kweli. WSijawahi ku date mwanaume mfupi maishani mwangu kwa hiyo hii kwangu ni news
Kuuliza hilo swali ni dhahiri ni mkaka... yaani sijui nisemeje ili uelewe....
Kwa wazoefu wanaelewa kuwa ukiwa na mke/mpenzi wako wa kike mnaonga au mmelala, mara nyingi anapenda umkumbatie kwa nyuma kama stori au petipeti inaendelea. Na hii ni almost kwa wanawake wote. Wanawake ambao wameolewa au wana wapenzi wanaume wafupi kuliko wao huwa hawaenjoy sana hii hali
Naomba wanawake wanijibu kwanini wanapenda hivi, au ni kuona aibu ya kumtazama mwanaume usoni? Wanawake kadhaa niliowauliza wameshindwa kunipa sababu za kueleweka...
Hahaha
Wengine hawana hata hayo mawowowo sasa..
Kuuliza hilo swali ni dhahiri ni mkaka... yaani sijui nisemeje ili uelewe....
sema kwa maandishi lol
naomba na mie nichangie japo kuwa mi c mwanamke. wanawake wengi wanapenda kukumbatiwa kwa nyumba kwani
kwa mbele huwa wanawaweka wapenzi wao wa dhati, nyumba ndogo na ma part time wanawekwa mlango wa uani.

hawana wowowo sasa wanakalia nini? una utani wa ngumi wewe!eep: :crazy:
Nashangaa to maana nijuavyo kama mmelala haijalishi ila kama mmejilaza alafu mko kwenye maongezi ni vizuri mkiwa mnaangaliana au mmoja kajilaza kwenye kifua cha mwenzake wote wakiwa wanaangalia juu.
Utaongeaje na mtu huku umempa kisogo`?