Kwanini wanawake wanaogopa wanaume handsome?

Status
Not open for further replies.
Ni kweli mkuu kwa nuru yao kila mmoja hupenda kuwa nao, na wengi wao ni Bar Maids na ni wahudumu katima mahotel mbalimbali.
Huko wanaowatumia sio Wanaume walio Warembo wa sura peke yake, hata wenye sura za kiume huwatumia pia.
Tatizo la hawa wanajiita handsomes wengi huwa na vijitabia vya kike, Hawa ndio wanasababisha huko nje tunasemwa watanzania hatuna nguvu za kiume kumbe sababu kuu ni hawa ma handsome.
Kutwa wanakula chips, na vyakula lainilaini vya hotelini ambavyo havina lishe ya kutosha kwa afya ya mwili.
Mwisho hawafanyi vizuri vitandani.
Lakini kwenye huu Uzi naona Muhusika alikuwa ana advertise Sura yake.
 
Oooush sorry nimepotea venue nimetokea kwene Kikao cha ma handsome..

Ndukiii
 
Sasa kwa misingi hii kama nlikuwa nina advertise SURA huu uzi acha niufute then niwaombe mods wauondoe hapa JUKWANI
 
Ma handsome wengi kama wadada warembo ni wachache wenye uelewa wa maisha na akili hata ya kuishi na watu,hata wengine kazi hawajui wapo wapo tu wanahisi watu wanakula uzuri...we've got bills to pay!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…