Kwanini wanawake wanaogopa wanaume handsome?

Status
Not open for further replies.
Eti makande

Sent using Jamii Forums mobile app
 
safi sana,Mkuu nimependa uchambuzi wako
Una IQ safi,Nilitegemea kupata majibu ya aina hii
Asikwambie mtu baadhi ya wanaume wana wivu mbaya sana,alafu ni wanafiki..yaani ikijulikanwa unapendwa huwa wanakunafikia sana,na kueleza madhaifu yako kwa watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume mahandsome wana matatizo ya nguvu za kiume kwa iyo wanawake wanaogopa wakiwa kwenye 6*6 hawajui kitu wanakuwa dhaifu
 
dah mkuu umedeliver facts sisi wenye sura mbovu huwa tunatamani na tusura angalau tuzuri tukimuona mwenye sura nzuri tunachukia kwel kwel
 
Hapa ni levels tu zinahusika. Namaanisha hata wewe mwanaume usiye na muonekano mzuri wala pesa watoto wazur wenye akili zao na pesa zao huwez gusa maana sio level zako. Kwa hiyo iko hivi, mwanamke mwenyewe anajitathimini je huyu mkaka naendana nae kweli au atanipitia tu aniache? Ye mwenyewe anaona kabisa hata mmudu, ingawa wengine wanajua kabisa wanapitiwa tu ila bado wanakuja na wako tayar kupata hiyo bahati hata ya kupitiwa tu.
Cha msingi hapa tafuteni ela tu uhendisamu utafuata.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…