Kwanini wanawake wanaogopa wanaume handsome?

Status
Not open for further replies.
Hahahahaa japo umenichamba,lakini ujumbe mzuri kwa kweli ..

Kuna watu huwa hawachokwi hakika,na nimeshuhudia hata hao hao wanawake,Kuna mwanamke ukishamuona kila siku utatamani kumuona.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: K M
baron de montesque pole kama una ya sura ya makande! Mkuu, kidume mimi nashukuru Mungu Mwenyezi amenipa muonekano wangu wa kipekee. Najua kwenye mambo ya fedha nimechoka mbaya, lakini nashukuru huu muonekano wangu unanibeba, kweli kweli naheshimiwa sana na wanawake wakubwa kwa wadogo jaribu kufikiri kama ningekuwa na sura ya makande plus mifuko imetoboka sijui kama ningepata hata demu wa kupiga nae picha... Hivi leo na kesho mimi ningekuwa mgeni wa nani kwenye dunia hii.
 
Ni kweli mkuu,Hapo ndio huwa naamini Mungu hakupi vyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mahandsome tunapata tabu sana

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Kwa wanaume ni wivu tuu, kwa mademu wanpoteza confidence, kitu kidogo wanahisi huna mapenzei nao, ki ukweli ni shida sanaaa kualkaa kwenye mahusiano mpka hukutane na mtu muelewa sana .na kupendwapendwa sana mwisho unajikuta unazoea unaona kawaida ndio unachukulia poa wao wanaona unaringa.. wanakutia kwenye fungu la tatu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha sura ngumu kama makande

13SEPTEMBER
 

Hiyo ndio bahati yetu sisi wanaume wenye sura za limao angalau tuambulie ambulie kidogo...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…