minded tips
JF-Expert Member
- Apr 29, 2018
- 506
- 876
Shoga ana matatizo ya akili au ni tabia ?Ukiweka pembeni mengineyo...ni binadamu kama wengine.
Mimi napenda kujumuika/kuongozana na wenye matatizo ya akili...msinitenge...[emoji854][emoji6]
Ungekuwa mwanaume tungesema wewe ndo unawatiaga mimba ila kwakuwa ni ke...🤔Ukiweka pembeni mengineyo...ni binadamu kama wengine.
Mimi napenda kujumuika/kuongozana na wenye matatizo ya akili...msinitenge...[emoji854][emoji6]
Asante...swali lako linatokana na nilichoandika? Au nje ya nilichoandika?Shoga ana matatizo ya akili au ni tabia ?
Ungekuwa mwanaume tungesema wewe ndo unawatiaga mimba ila kwakuwa ni ke...[emoji848]
Mengine tumuachie muumba.
Ushanijua mbona...[emoji28][emoji28]....umehakiki mimi ni ke...[emoji6][emoji854]...Mh! Unafanya nahisi kuhitaji kukujua vizuri! Vipi unahusika na kuwatibu..?
Ulivyo nakatabia ka kikatili umefunga mlango wakati machizi tunataka tukupe kampani fungua mlango weye..😅Ushanijua mbona...[emoji28][emoji28]....umehakiki mimi ni ke...[emoji6][emoji854]...
acha nikaombe funguo...sikujua aliondoka na funguo....[emoji23][emoji23][emoji23]Ulivyo nakatabia ka kikatili umefunga mlango wakati machizi tunataka tukupe kampani fungua mpango weye..[emoji28]
Fungua nawe acha mi nishachizi na kampani ndo wewe..😅acha nikaombe funguo...sikujua aliondoka na funguo....[emoji23][emoji23][emoji23]
karibu tuchizike...usiache kuaga utokapo...Fungua nawe acha mi nishachizi na kampani ndo wewe..[emoji28]
Chizi hoyeee.. mwambie chizi aliemeza funguo asirudie..😁karibu tuchizike...usiache kuaga utokapo...
Duwanawasaga