minded tips
JF-Expert Member
- Apr 29, 2018
- 475
- 847
Habari za weekend kakaz na dadaz? Anyways ngoja niende kwenye swali
Ndugu zangu nilikuwa naomba ufafanuzi hivi ni kwanini wanawake inakuwa rahisi sana kwao tena wanaona kawaida kuwa na urafiki na mwanaume anayefanya vitendo vya kishoga?
Hiii inakua hasa sababu ni ipi? Tena wanaona kawaida hata kuongoza a mtaani