Wanaume wanaumiza sana roho za wanawake walio wengi ... mwanaume atamnyanyasa mwanamke vile tu hajajaliwa mtoto, mwanaume atapenda kuwa na nyumba ndogo kwamba wewe humtoshelezi au umexpire, mwanaume akiamua kuacha mwanamke hatojali kama mwanamke huyo ana mtoto au watoto naye, mwanaume atamwambia mwanamke umezeeka utafikiri yeye anakuwa kijana, mwanaume ni kiumbe hodari wa kunyanyasa mwanamke mentally emotionally na physically. Kwa muhtasari huu ndio maana wanawake au kuna msemo 'wanaume wengi wanafanana' Wanawake wengi wanalia ndani ya mioyo yao kwa wanayopitia majumbani mwao. I dare to say 'Wanaume wengi kama si wote wanafanana baba yao mmoja'