HahahahUkianza kuwaelewa hao viumbe, jua Israel na Palestine wako mbioni kupatana
Na sisi tukipanda kwa lazima msipaze sauti kwamba mnabakwaEbu mtupe bwana.,na mikakataa tunapanda wenyewe kujisevia
Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
Mjitumbua woote! ule? tena una kwaruza ivi na visiki! plus vihips vya kishkaji! daaa! jamani heee! nijivunge mie! maweeee!! hata km naumwa! sijui natoka kuchakata huko porini, Maria wangu! akiniomba tu faster nampa! au hiko kimke chako kimechakaa flani hivi, ajili ya kukapa kazi za kuchakata viazi vya chips! kwani kakoje hebu picha! tukushauriNitoe mfano mdogo tu kwangu mimi.
"hapa nyumbani shemeji yenu naishi nae vizuri tu lakini kuna swala hili moja, kuna kipindi nikimuhitaji kimapenzi yuko huru kuniomba excuse kama siku hiyo hatokuwa tayari kwa sababu mbali mbali inaweza kuwa kuchoka au kutokuwa na hamu tu.
Lakini ikija kwangu ni kinyume chake, yeye akiitaji kushiriki na mimi nikimuomba excuse kwamba nimechoka naomba aniache nipumzike hawezi kunielewa.
Atalazimisha sana na ata nikizidi kukaza ataleta maneno maneno mengi ya kunilaumu "sitaki kwa sababu nimetoka kukutana na malaya zangu huko, sitaki kwa sababu labda nimemchoka na Nk."
Maneno huwa ni mengi aswaa.
Ndio maana nimekuja hapa jamvini tujadili, Hivi kwa nini wanawake wanaamimi sisi wanaume hatuna haki ya kukataa kufanya nao mapenzi? Kwa nini?
Cc Zero IQ
yaaani haswaaaa wewe ndo tunawezana doooooo!Genye za mwanamke hazina mfano wewe,,unawasha hadi rohoni tukiwahitaji tupeni tu kwakweli.
eee ivoivo wakale wapi sasa!! waje tu tuta wapaWanawake ni selfish sana
Poleni sana mvumilie ndivyo walivyo...Atalazimisha sana na ata nikizidi kukaza ataleta maneno maneno mengi ya kunilaumu "sitaki kwa sababu nimetoka kukutana na malaya zangu huko, sitaki kwa sababu labda nimemchoka na Nk."
Cc Zero IQ
mtoa mada kasema anavumilia, sasa wewe habari ya kupewa muda wote umezitoa wapi?Ila nyie mkitaka muda wowote mpewe
na wewe acha kuongozwa na nyege mkuu, unadhani watu wanambato muda wote tu? Na kazi zinatofautiana.Mjitumbua woote! ule? tena una kwaruza ivi na visiki! plus vihips vya kishkaji! daaa! jamani heee! nijivunge mie! maweeee!! hata km naumwa! sijui natoka kuchakata huko porini, Maria wangu! akiniomba tu faster nampa! au hiko kimke chako kimechakaa flani hivi, ajili ya kukapa kazi za kuchakata viazi vya chips! kwani kakoje hebu picha! tukushauri
hakika mkuuUkianza kuwaelewa hao viumbe, jua Israel na Palestine wako mbioni kupatana