joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 15,157
- 31,737
Nani ka kwambia? mpaka wenye kazi zao na wasomi wanapiga misumali kama kawa.Umaskini.
Kwa mwanamke anayeweza kujisimamia mwenyewe kiuchumi hawezi kufikiria kumtuliza Mwanaume kwa uchawi na ushirikina.
Anaishi naye kwa penzi la asili akiona wanashindwana atakuwa tayari kuachana na maisha ya mwanamke yataendelea vizuri.
Tatizo wale wanawake jobless au hata kama akiwa na kazi lakini kipato hakitoshelezi mahitaji yake na ndugu zake kundi hilo ambapo wako wengi ndio wa hivyo.
Sasa anajua Mwanaume akimuacha hatakuwa na pa kushika pa kumpa riziki afanyeje?