Kwanini wanawake wanaamini sana Limbwata kumtuliza mpenzi?

Umaskini.

Kwa mwanamke anayeweza kujisimamia mwenyewe kiuchumi hawezi kufikiria kumtuliza Mwanaume kwa uchawi na ushirikina.

Anaishi naye kwa penzi la asili akiona wanashindwana atakuwa tayari kuachana na maisha ya mwanamke yataendelea vizuri.

Tatizo wale wanawake jobless au hata kama akiwa na kazi lakini kipato hakitoshelezi mahitaji yake na ndugu zake kundi hilo ambapo wako wengi ndio wa hivyo.

Sasa anajua Mwanaume akimuacha hatakuwa na pa kushika pa kumpa riziki afanyeje?
Nani ka kwambia? mpaka wenye kazi zao na wasomi wanapiga misumali kama kawa.
 
Mwanamke ni Binadam.....jooooooh

In fact kihalisia aliumbwa kupenda mwanaume mmoja.... jooooooh

Hata ivo kutolewa usichana wake mapema au aina Fulani ya maisha ,hakumfanyi apoteze nafasi yake ya kumpenda MTU mmoja ......jooooooh...

Nakuja kwenye Point yangu !!!

Kama kawaidaaaa ,umri wao wa uschana ukipita , yaan wakianza kugonga 28+ ..jooooooh

Huwa hawataki kuchezewa ...jooooooh

Na hapa wanapokua namtu ..jooooooh

Hutamani kuzeeka naye kifamilia ...joooh

Nakama ambavyo Baadhi ya Wanaume, huwaachisha kazi wanawake zao....... Huwafungulia biashara hapo hapo.... Hufunga CCTV kameraa..... Haruhusu Mke kutoka bila...,......

Aahh wivu!?? Au ndo upenda ???

Asikuambie MTU ,Mali yako niyako na kiasili lazima ukomae kuilinda jooooooh

Wanaume hatuendi Kwa waganga ..sababu tunajua wanawake wanatutegemea sisi ...jooooh...

Niseme ivi, Wapo wanawake wanaamua KUMUOMBA MUNGU kila siku ili mumewe asichepuke awe wake tu...jooooooh

Na wengine wanasema hapanaa....Ngoja nimtie limbwata ....jooooooh

Hawa WOTE WAWILI WANA MAPENZI YA DHATI JOOOOH.

Ila wamepishana namna ya kulitunza penzi lao joooh.

KWA AINA YA UUMBWA WETU WANAUME, ULAFI WQ MBUSUSU...JOOOH

JAMAN MTUROGEEEE ,MTUROGEEE, TUKIWA NJE, MASHINE ZISISIMAME , TUKIRUDI NDANI, ZISIMAME.

 
Back
Top Bottom