Kwanini wanawake waliotendwa wanapenda kusali?


kwani anasali ili asiachwe ama ana sali ili Mungu amsaidie katika kipindi kigumu anachopitia...?

Kama siyo mpango wa Mungu lazma mtaachana tu hata usalije.....lakini Mungu anahitajika zaidi ili kile unachopitia kiwe chepesi kwako.......

Mungu ni mwenye huruma na upendo muda wowote yuko tayari kutusaidia hasa pale tunapomhitaji........kwahiyo mtu anapopata tatizo na kumrudia Mungu hamchezei bali ametambua kuwa yeye ni muweza wa yote.......
 

na cc waislamu je au umefanya reseach huko kwenu tu
 
Me hata nikigombana na Muhibu wangu tu nakimbilia kwa Mungu...Siku Docta akinivuruga mbona Qiyamu layli huwa zinanihusuuu....baada ya hapo huwa nahisi kichwa kimetulia...
Mungu ndo kila kitu jamanii....
 
Me hata nikigombana na Muhibu wangu tu nakimbilia kwa Mungu...Siku Docta akinivuruga mbona Qiyamu layli huwa zinanihusuuu....baada ya hapo huwa nahisi kichwa kimetulia...
Mungu ndo kila kitu jamanii....

afu ukikimbilia kwa Mungu anakupa faraja ya moyo na utulivu wa akili.......unapangilia mambo yako vzuri na maisha yanaenda.........kuliko kuwa na tabia za ajabu kama umalaya.....ulevi.....etc....mana kuna baadhi ya wanawake wamekuwa malaya baada ya kuachwa na wapenzi wao........
 

Sasa wewe una suggest wamgeukie shetani?!
 

Sure...baada ya hapo hata kama nimekosewa najifunz kusamehe, huwa nawaza mimi nimemkosea Mungu mangapi lakini ananibariki kila siku...kwa nini nisimsamehe huyu ambaye hana ukamilifu...kama nimekosea baada ya hapo nakuwa na ule moyo wa kujishusha...
Asikwambie mtu matumaini yote yapo kwa Mungu basi tu huwa tunajisahau....!
 

kweli kabisa....mie naona heri anayekimbilia kwa Mungu.....
 
Ngoja nianze kusali..naweza opoa mmoja huko!!
 

Kuna Zaburi inasema, Mungu kwetu ni kimbilio na nguvu, msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso/matatizo/shida.
 

Wewe unazungumzia kutendwa kivipi.
 
Mungu kwetu, Sisi ni kimbilio na nguvu msaada utakaoupata muda na wakati wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…