Kwanini wanawake waliotendwa wanapenda kusali?

Kwanini wanawake waliotendwa wanapenda kusali?

Brigedia Chan-ocha

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
1,353
Reaction score
2,849
Hii nimeiona sana, mabinti au wanawake wengi waliotendwa na wanaume wanapenda sana kusali, na wanasema Mungu yupo, atanisaidia tu hata nisipopata Mume nitaendelea kumwabudu Mungu wangu, wengine husema.

Sasa nimemgeukia Mungu wangu na yeye ndiye jibu la moyo wangu.

Wengine inawabidi waimbe mapambio/kwaya tena kwa sauti kubwa kuliko zile za kawaida zinazoruhusiwa, wengine huwahi ibadani mapema na kukaa viti vya mbele au kati kati.
 
Mungu yupo siku zote sio za kukataliwa pekee ni kujifariji tu

Katika hiyo research yako ulipoifanya je hapo kabla walikuaje???
 
Hii nimeiona sana, mabinti au wanawake wengi waliotendwa na wanaume wanapenda sana kusali, na wanasema Mungu yupo, atanisaidia tu hata nisipopata Mume nitaendelea kumwabudu Mungu wangu, wengine husema, Sasa nimemgeukia Mungu wangu na yy ndiye jibu la moyo wangu!

wengine inawabidi waimbe mapambio/kwaya tena kwa sauti kubwa kuliko zile za kawaida zinazoruhusiwa, wengine huwahi ibadani mapema na kukaa viti vya mbele au kati kati.
Sababu Yesu ni mume wa wao na ndio msaada wakati wa shida
 
hahahaaaaa duuu i can imagine hivi vinatokea kumbe......
Unajua mungu ndio kimbilio letu ika wengi tunamkumbuka wakat wa shida tu asa aloachwa alikuwa wapi kusali asiachwe??? anaona matatizo yameingia ndio kuanza kusali looo tunamchezea mungu kwa kweli
 
COZ Waliokutana nao mwanzo ni mapepo hawataki kukutana nao tena...ndio wanaona bora wasali ili waepushwe nao

Hii nimeiona sana, mabinti au wanawake wengi waliotendwa na wanaume wanapenda sana kusali, na wanasema Mungu yupo, atanisaidia tu hata nisipopata Mume nitaendelea kumwabudu Mungu wangu, wengine husema, Sasa nimemgeukia Mungu wangu na yy ndiye jibu la moyo wangu!

wengine inawabidi waimbe mapambio/kwaya tena kwa sauti kubwa kuliko zile za kawaida zinazoruhusiwa, wengine huwahi ibadani mapema na kukaa viti vya mbele au kati kati.
 
Hahahhahaha...daaa! hii research ni noma!! kama vile kuna kaukweli Fulani vile!!
 
mungu ndiye muweza wa yote.
 
ile ni stress plus saikological impact.......yan huwa ni shida kwao pia anaweza kuwa mkali balaaa....anazunguka na route za mikutano tu..na wengne mwishowe huharibikiwa hata maisha na wengine hutedwa huko pia tena eitha na muumin mwenzake au mchungaji...cjajua nn huwa kinafatia hapo kwa mtu wa aina hii
 
Hilo nalo ni la kuuliza?Ulivyofanya utafiti wako hapo mwanzoni walikuwaje?
 
Mbona mimi sijatendwa bali namwamini mungu......research yako invalid.....
 
si ndo maana kuna kipindi cha kutoa ushuhuda...may be God is busy...kwa hiyo wasio na shida wanampa nafasi awashughulikie wenye shida kwanza...
 
Ila kautafiti kanaukweli. Hata mm nmeona wanawake wengi waliotendwa au kuzalishwa huwa wanakimbilia kuokoka na kupiga mapambio + na age go halafu hawajaolewa nao pia
 
Back
Top Bottom