Kwanini wanawake wakivaa uniform wanavutia zaidi!?

The Icebreaker

JF-Expert Member
Feb 11, 2018
5,000
2,000
Umenikumbusha mbali sana.
Miaka kama 6 hivi niliitwa kny interview. Meeting point ilikuwa hoteli moja hapo. Alienifanyia interview alikuwa mdada, alikuwa amevaa suti inemkaaa hasa.

Yaani mda wote wa maswali akili yangu ilikuwa kwa yule dada. Baada ya interview nilimsimulia rafiki yangu moja nijamwambia nikishindwa ujue sababu no yule dada.
Hahahaa! malizia story mkuu,ikawaje? interview ulipasi au ulifeli vyote pamoja na kumkosa huyo mdada?:D:D
 

Mgirik

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
12,422
2,000
Huu Uzi utaharibika mda si mrefu maana naona kuna wale vijana zero brain wameanza kutupia picha za uchi
 
Top Bottom