Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
mi niko okay ingawa umeninyima mwaliko wa pasaka lol
Basi jiandae jioni nitakupitia na shemeji yako tukutoe ata out kidogo
mi niko okay ingawa umeninyima mwaliko wa pasaka lol
Unataka uulizwe nini? Umet....?
hivi simba na yanga jana ngapi ngapi?
Ili iweje?mi lazma nimulze kama ameshakula
ngoja nijiandaeBasi jiandae jioni nitakupitia na shemeji yako tukutoe ata out kidogo
Omba??????
Unataka uulizwe nini? Umet....?
Omba??????
Habarini wakuu Nataka kujua kwanini hasa wanawake wanapendelea kuuliza maswali Haya kwa wapenzi wao au watu wa karibu
1.umekula? Ukisema ndio linafuata swali lingine la umekula nini au chakula gani?
2. Umepika? , umepika chakula gani?
Akina dada na wadau wengine nisaidieni maswali Haya yanatarget nini? Ina maana naweza jisahau kula? Au ndio chombeza za kuonyesha unajali au?
usipoulizwa utasema kuna anaeulizwaga au utasema hakujali nyinyi viumbe mnatakaga nini muda mwingine nashindwa kuelewa SEREKALI 3 AU 2,????
hivi simba na yanga jana ngapi ngapi?
Me lazima niulize;
Uko wapi? Upo na nani? Unafanya nini? Umekula? Umekula nini? Mbona unaongea kwa wasiwasi? Aisee hadi utachoka mwenyewe