Kwanini wanawake mnapenda kuuliza "umekula"?

UMERIDHIKaaaa? baada ya cku mbili unaanzisha new relation
 
Habarini wakuu Nataka kujua kwanini hasa wanawake wanapendelea kuuliza maswali Haya kwa wapenzi wao au watu wa karibu
1.umekula? Ukisema ndio linafuata swali lingine la umekula nini au chakula gani?
2. Umepika? , umepika chakula gani?
Akina dada na wadau wengine nisaidieni maswali Haya yanatarget nini? Ina maana naweza jisahau kula? Au ndio chombeza za kuonyesha unajali au?

Mh!jamani!!
 
Kweli ganzi wakati wa tohara inafika mpake kwenye ubongo!!!!!
 
Habarini wakuu Nataka kujua kwanini hasa wanawake wanapendelea kuuliza maswali Haya kwa wapenzi wao au watu wa karibu
1.umekula? Ukisema ndio linafuata swali lingine la umekula nini au chakula gani?
2. Umepika? , umepika chakula gani?
Akina dada na wadau wengine nisaidieni maswali Haya yanatarget nini? Ina maana naweza jisahau kula? Au ndio chombeza za kuonyesha unajali au?

Anakuliza ivo ili ajue huwa unapendelea kula vyakula gani, ili awe anakupikia pindi utakapoamua kumuweka ndani.
 
Habarini wakuu Nataka kujua kwanini hasa wanawake wanapendelea kuuliza maswali Haya kwa wapenzi wao au watu wa karibu
1.umekula? Ukisema ndio linafuata swali lingine la umekula nini au chakula gani?
2. Umepika? , umepika chakula gani?
Akina dada na wadau wengine nisaidieni maswali Haya yanatarget nini? Ina maana naweza jisahau kula? Au ndio chombeza za kuonyesha unajali au?

Mkuu hata habari za Asubuhi watu hukuuliza hawana maana kuna kitu watafanya kama zako si nzuri. Its just communication.
Hebu we sema kwenye sms zako na simu zako huwa unauliza nini tujue kama vina tija.
 
Mara nyingi wanakuwa hawajala hivyo ni namna ya kukujulisha wewe wananjaa na ikiwezekana uwatumie pesa.
 
Back
Top Bottom