Kwanini wanawake? Lakini si wote

wanawake ndio wana roho mbaya?....wanaoua watu huko kibiti ni wanawake pia?
waliopiga mwanafunzi kule mbeya video ikasambaa walikuwa wanawake? wanaokata viungo vya albino ni wanawake pia?
waliombaka dada wa watu kinyume na maumbile tena huku wakichukua video kule morogoro walikuwa wanawake?

hebu rudi kafanye research upya!! usituharibie funga zetu.....shubaaamiti
kibiti kumbe unawafahamu ?
njoo central toa taarfa upewe shillings
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom