Kwanini wanawake? Lakini si wote

Hii mifano ya mtu mmoja mmoja kamwe haiwezi kunishawishi kuamini unachokisema kwamba ni wanawake pekee ndio wenye hizo tabia.

Tabia hizo haziangalii jinsia ya mtu kwa sababu kama ni uchawi hata baadhi wanaume wapo wachawi na kama roho mbaya hata baadhi ya wanaume wanazo roho mbaya.

Mmeshazowea kila siku "mzigo mzito kumpa mnyamwezi"
Wanawake wengi ndio Wachawi mkuu.
 
Wasituharibie siku. Kila kitu wanawake tu.
Mijambazi ni midume
Mibakaji midume
Mifisadi midume
Wauaji wengi midume
Wabahili midume
Wanaotelekeza familia midume
Wafiraji wanaume. Hebu mtupishe huko..
.
.
Mshana jr ni mchawi (mshana hapa natania tu jamani)..ni mwanaume
Wanoshindwa kugegeda ni wanaume mkanda nje tu wakati ni nanga tuuu
 
Hawa alivyokubali kula lile tunda pale kwenye bustani toka kwa yule ibilisi ndio akaharibu kila kitu na ndio matokeo yake haya.
Adam aliambiwa Eva ni msaidizi sasa yeye kihelehele chake na uvivu wakutowajibika kwenye nafasi yake kama ilivyo sasa wanaume msivyo simama kwenye nafasi zenu ndiyo akamtuma Eva badala ya kwenda ndiyo uvivu uliopo dakika 2 tu mtu hayupo anakoroma hiyo ndiyo mpaka wiki
 
amejisemea emmyta ....wamezoea mzigo mzito mpe mnyamwezi..
watu wanajibakia watoto wa kuwazaa wenyewe tunasikia kila siku...imefika mahali wanawake wanaogopa kuwaacha watoto na baba zao.

dunia hii mwanamke akikosea mshenzi..mwanaume akikosea bahati mbaya..
Umenena neno bora la miaka
 
Tena wanaume ndo wanoongoza roho mbaya ,wakimbia majukum waoo
Wachepukaji waoo
Watekaji nyara waoo
Wabakaji waoo
Wapiga chabo waoo
Mario waoo lol
 
Ndugu JF,

Kiukweli bila kupindisha ukweli, mimi huwa najiuliza maswali mengi sana juu ya wanawake.

Kumbuka si wote ila wengi wao.
1.Kwanini wanawake wengi hujihusisha na uchawi,
kwa mfano; house girls wengi wa visa na matukio mengi ya kishirikina.

Mfano mwingine hata mitaani tetesi za wachawi wengi ni mabibi sana.

2.Kwanini wanawake wengi wana roho mbaya.
kwa mfano dada yangu mmoja yeye hata jirani anapohitaji msaada kutoka kwetu, lazima tu dada ajiongeleshe negatively eti "kwani hapa tu ndo ameona"

3.Chuki moyoni.
Yaani wanawake wengi tu wamebeba chuki hata ya kitu kidogo,
mfano watoto wanapogombana wao kwa wao mama zao hutunza chuki isiyo kifani.

4.Kujidharau
Haina ubishi!
Wanawake hujidharau sana, mfano: Mwananume akifanya upuuzi, wanawake wanasikika wakisema yaani "mwanaume unafanya vitu kama mwanamke?

Sasa huwa najiuliza kwanini kwao?

Pole sana hao ni wanawake wa class yako. Na ndio maana unaona hayo jaribu uwe exposed zaidi ikiwezekana toka hata nje ya nchi utakuja na story tofauti
 
si mtu mmoja mmoja !
hata wanaume wapo ila fanya tafiti ndogo hata eneo ulilopo asilimia kubwa wanawake ndo wabaya

Ubaya wa wanawake unaonekana kwa sababu unafanyika mchana. Ubaya wa wanaume unafanyika usiku. Wanawake wangekuwa wabaya kama mnavyosema hii population ya dunia isingefika hata 1 billion. MTU unalala nae na unaamka nae na bado unapumua unasema ana roho mbaya mbona kummaliza kiumbe mwanaume ni kazi rahisi sana sema hatuna hizo roho mbaya mnazosema
 
Ndo walivo,Hata mie nashangaa sana.

Hakuna mwanamke hapa Duniani ambaye atakubaliana na mwanaume kumwoa binti Fulani anayemjua,isipokuwa mama yake mzazi tu.


Yani ni viumbe wa kitofauti kabisa.
 
Back
Top Bottom