Msweet
JF-Expert Member
- Mar 26, 2014
- 3,241
- 4,441
Haswaaa..... Kwa Engineer kuandika yooote haya.... Kuna shida mahali....!!!Kama wewe ulieandika yote haya ni wa kiume tena ni engineer basi kuna tatizo kidogo.
Haswaaa..... Kwa Engineer kuandika yooote haya.... Kuna shida mahali....!!!Kama wewe ulieandika yote haya ni wa kiume tena ni engineer basi kuna tatizo kidogo.
Ww ndio umesema ukweliUkweli mtupu, wanawake hatupendani mnooo yani hatupendani hata kidogo..... Nadhani ni nature tu, ndivyo tulivyo
Lakini ulichoandika kina Uhalisia Wanawake kwa Wanawake huwa hawapendani. Na huwa hawapendi Mwenzao aendelee.
Wakati wa Uchaguzi Yule mama wa ACT hakupata kura zaidi ya Lakimoja ilihali wapiga kura wengi wa nchi hii ni Wanawake.
Tembea maofisini, Dada aende akaombe kazi halafu amkute Bosi Mwanamke mwenzie hiyo kazi kuja kuipata pana Shughuli.
Nenda Bar na Mke wako uone huduma utakayopewa.
Angalia mitaani, Dada wengi wako radhi watembee umbali mrefu kumfuata fundi nguo wa kiume ili hali kamuacha fundi wa kike nyumba ya pili.
Sky Eclat
Wazo Langu
Sonia G
Miss Natafuta
Leteni tena vijamaneno vyenu na hapo... Najua mtaishia kubyeda midomo tuu..


Kilichomo ndani ya ubongo huwa hakijfichi,Mkuu nimepata mshangao kwanza user name engineer, sasa hivi katika kipindi cha mpito tunahitaji wasomi kuliko maelezo sasa msomi mwenye collection ya SHILAWADU na pia ni wa kiume kidogo nimeona tatizo.
Tena mbea haswaaaUnaonekana mbea wewe
Tunapendana kawaida tu sababu mmeambiwa muishi na sisi kwa akili sababu ukikurupuka hutatuelewa kamwe
Huo muda hatuna kujibu swali la kipuuziToeni mapovu weeee....
Mkimaliza mnijibu kwanini hampendani, mna husuda baina yenu, kubyedana midomo kama Nguchiro.
Toeni mapovu weeee...
Mkimaliza mnijibu kwanini hampendani.
Mna husuda baina yenu, kubyedana midomo kama Nguchiro.
Asante kwa ukweli wew ni shupavu na malkia wa nguvu ukwel haufichikaniNatamani kutoa comment ndeefu ila acha tu niseme kweli wanawake hatupendani kabisaaaaa. sio wa uswahilini wala wa uzunguni.



