Kwanini wanawake hawapendi kusema umri wao?

aaah! 22 is not an age i can be proud of... sasa nipo katika age ambayo I am most proud... na hata nikionana nawee nitataja wa ukweli... for mpaka nikasimama na wewe ina maana ni mwanaume wa kweli... Na mwanaume wa kweli hataogopa age yangu....lol... alafu uzuri nilianza kuzaa at 18....lol
Hahahahaaa hebu mpe bonge la Thumb up huyo aliyekupata wakati bado uko motoooooo (18)

huhofia maana hawajui ninani atakuwa mweza wake na ana umri gani ni dada mmoja nina mfahamu mpaka leo hii alisha mzunga mme wake 37yrs lakini mpaka leo hii 30yrs

sababu wanaume wanauliza sana ... na wanawake wengi hupendi kuwa na wanaume wenye umri mkubwa kuliko wao (mkubwa wastani)... sasa kama mwanamke ni mkubwa kuliko wewe lazima atafichaa .. ..........
Sio huwa nasikia "Age ain't a thing but a number" na naamini mahusiano ya kweli yanajengwa kwenye ukweli au?

Jamani i have been seeing this kwenye maeneo mengi na kwa wanawake wengi, hawapendi kutaja umri wao kabisa hasa wale ambao tayari kaumri kao kamevuka miaka 25, why?

hasa wazungu. mtagombana.

siyo kwamba wanaishi kwa ajili ya wanaume, ila wanawake wanatambua kuwa wanaume ni wachache kulinganisha na wao. mfano sisi kwetu tupo wanaume wanane kati ya watoto 21. kwahiyo wanachofanya ni kuchenza game of chance.

Duuh kitu cha 21? Yaani hapo timu ya mpira wamiguu na kikapu, tafuteni washangiliaji tu.

Mimi ukiniona nikakutajia umri wangu utakataa, na wewe unayependa kuuliza umri wa wenzio unatoa birth au death certificate? Maswali mwengine ni Primitive/village flavour style!

Nadhani ni kwa sababu uzee una negative connotations in the West. Westerners wanaposikia "uzee" wanafikiria wrinkles (ugliness), boringness, old-fashioned, whereas youth is exciting, new, interesting, beautiful. The female gender is supposed to be pretty and attractive, and old-age is considered as anything but this, so i think this makes women more reluctant to accept that they're aging (even though men tend to have some problems with it too once they're over 30 from what i've seen). And being that the Western culture is very influencial and thus tends to affect non-western cultures too, i think this mentality is unfortunally increasingly spreading among non-westerners too.

anafahamu vipi kwamba wanadanganya?? utafiti wako umefanyika wapi?
Sijasema wanadanganya nimesema hapendi kusema umri wao, utafiti? Ingia facebook katika orodha ya marafiki zako pitia profile za wanawake halafu uone ni wangapi wameandika umri wao (simple utafiti)

Sasa ukishajua kama miaka imeenda si itakuwa basi, utakuwa na haja nae tena?Wanaume walio wengi wanapenda yankee,si unajuaaa.....
Jamani i have been seeing this kwenye maeneo mengi na kwa wanawake wengi, hawapendi kutaja umri wao kabisa hasa wale ambao tayari kaumri kao kamevuka miaka 25, why?

Kwa wale wapenzi wa movies na seriesm kuna series moja inaitwa Sex and the City kuna mdada anaitwa Charlotte mule ndani alikuwa anatimiza miaka 38 lakini wakajadiliana na wenzie wakakubaliana hakuna kukua zaidi ya hapo so akafanya birthday ya "37again" i loved the slogan

aaah! 22 is not an age i can be proud of... sasa nipo katika age ambayo I am most proud... na hata nikionana nawee nitataja wa ukweli... for mpaka nikasimama na wewe ina maana ni mwanaume wa kweli... Na mwanaume wa kweli hataogopa age yangu....lol... alafu uzuri nilianza kuzaa at 18....lol
Nasikitika mchezo wa kibaba baba umeuanza mapema mno

Mimi ukiniona nikakutajia umri wangu utakataa, na wewe unayependa kuuliza umri wa wenzio unatoa birth au death certificate? Maswali mwengine ni Primitive/village flavour style!
Ukiona jamaa anauliza umri labda anataka kuchukua mzigo jumla. Punguza ukali ndo mwanzo wenyewe huo.

Mimi ukiniona nikakutajia umri wangu utakataa, na wewe unayependa kuuliza umri wa wenzio unatoa birth au death certificate? Maswali mwengine ni Primitive/village flavour style!
Unfortunately primitive is the opposite side, whatever s/he is anataka kujua how to and when to treat you on your birthday na wabinti wa siku hizi mnavyopenda hizo! Sa kama humwambii how will he know?

Na sio wanawake tu,hata wanaume wapo hivyo,utakuta mwanaume anasalimiwa anaitika poa sasa shikamoo na poa wapi na wapi?

Na sio wanawake tu,hata wanaume wapo hivyo,utakuta mwanaume anasalimiwa anaitika poa sasa shikamoo na poa wapi na wapi?
Hahahahaaa huwa wanauliza unataka kuninyima nini?

Hata wa below 25 huwa hawapendi ila inategemea ukaribu wako na mlengwa.
Wengine hawapendi kuonekana wakubwa sana au wadogo sana.

Musimo nikutajie umri wangu?

Back
Top Bottom