Kwanini wanawake hawapendi kusema umri wao?

mimi huwa nazidisha kabisa ila hawaamini mwanaume ukimwambia umemzidi anaona kama kakibuti sijui

Nimekuchungulia tu kwenye driving mirror. Nilikuwa napitapita tu wala usijali, ila nakusalimia usiku huu!
 
Kusema kweli sio tabia nzuri kumwuliza mtu "personal issues" kama vile umri na dini.
Kwa nini umwulize mtu maswali hayo? Ni tabia ambayo wanaume wa Kiafrika
tumeizowea na sio nzuri. Unamwuliza mtu umri, dini, ameolewa au la ili iweje?
Kufanya hivyo ni ishara ama ya ubaguzi, unataka kumtenga kwa hali yake hiyo
au kwa "sentimental interests". Ikiwa ni hili la mwisho, umri huwa si kikwazo
kwa wapendanao.
 
Kusema kweli sio tabia nzuri kumwuliza mtu &quot;personal issues&quot; kama vile umri na dini. <br />
Kwa nini umwulize mtu maswali hayo? Ni tabia ambayo wanaume wa Kiafrika<br />
tumeizowea na sio nzuri. Unamwuliza mtu umri, dini, ameolewa au la ili iweje?
au kwa &quot;sentimental interests&quot;. Ikiwa ni hili la mwisho, umri huwa si kikwazo<br />
kwa wapendanao.
Umesahau kama hii ni Tz/Afrika ambapo wazazi na ndugu wana sehemu yao kwenye mahusiano hasa ndöa!
 
Back
Top Bottom