Kwanini wanawake hamridhiki?

Kwanini wanawake hamridhiki?

Kaoe bikra kuna mdau alianzisha uzi kuwa inasaidia, mm nakushauri furahia maisha, usimpe mwanamke yeye ndo aamue ufurahi au la. Ona ss unaweza tumia miez au mwaka kuuguza jeraha sababu ya style ya maisha.

sijui Kwann wanaume tunawaza sana kugongewa tunasahau kuwa wanamke hata ukimtawaza baada ya haja kubwa kuna siku atasema vidole vyako mbona vigumu hivyo?

Wanaume wa zamani walikufa mapema sababu ya vita na kazi ngumu, siku hizi ni presha, msongo wa mawazo na hofu za kugongewa.
 
Back
Top Bottom