kwanini wanawake hampendi kutumia condom

kwanini wanawake hampendi kutumia condom

dah!savali,nilijua peke yangu tu.mi nishavuliwa kabisa,soio mara moja..........ila napiga mkwara tu kama vipi tuahirishe mchakato!

dadangu zangu...wwwwhyyyyyy....kwanini!???mnajua nyie mnachanika kirahisi huko kwa malikia afu mnakataa 'rambo'' badala ya kushupalia!??
 
Naked truth ni watu waajabu sana

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
nimejaribu kwa makundi tofauti machangudoa wake za wa2 vibinti na wamama wa makamo mi hawanisumbui si nina opah nyeupe basi kama nimeweka urimbo wanavyokuja

Uponywe mzinzi wewe katika Jina la Yesu.
 
hv mabint hampendi kutumia kinga ni kawaida sana ukiwa na mwanamke wa leo ukimlainisha tu unaingiza ndonga na wala haulizi na hata kama akitumia basi ni siku ya kwanza

Ukimtongoza mwanamke kikawaida na mkakubaliana, huwa anahisi mtaendelea na mahusiano kwa muda mrefu na pengine ndoa, hasa ukizingatia wanaume wengi wanadanganya mpaka wanapitiliza, hivyo akikukubali anakukubali 100%,.
Wakati kichwa cha mwanamke kinawaza mahusiano ya muda mrefu, kichwa cha mwanaume kinawaza kugonga na kusepa.
 
hv mabint hampendi kutumia kinga ni kawaida sana ukiwa na mwanamke wa leo ukimlainisha tu unaingiza ndonga na wala haulizi na hata kama akitumia basi ni siku ya kwanza

Na wewe kama unajali afya yako kwa nini uingize tu bila tahadhari ?
Utakufa siku si zako
 
Niliwah kutishiwa kulowekewa nguo kwa kung'ang'ania kondom,nikakaza sura tu
 
Tena wanasema hawawezi kula ndizi na maganda yake.
 
Back
Top Bottom