kwanini wanawake hampendi kutumia condom

kwanini wanawake hampendi kutumia condom

Na ndio mana wanawake wanaongoza kwa kuwa na virus vya ukimwi ukilinganisha na wanaume niwachache,
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha da ngoja nikafanye utafiti kwanza nione kama ni kweli....
 
Ntachangia kesko leo jumapili siku takatifu sana hatutakiwi kujadili mambo ya dhambi!
 
Wanawake wangapi? Wamaanisha including ur mom,sisters,aunts,grandma?
 
nitafanya tathmini ya hoja baadae, endeleeni kuchangia
 
Mmoja niliongea nae akasema akitumia Zana baadae Papuchi inamuwasha sana so bora kavu kavu!!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
iyo kweli kabisa ni wachache sana wanamsimamo wa kutumia kinga wengine duh wanakuvua kabisa kama mwanaume hauna msimamo unajikuta unavua[/QU
Wengi wanasema zinawaumiza
 
Halafu cha kushangaza kama ni mara ya kwanza ukimaliza ye ndo anaanza kukuuliza inakuwaje hatujatumia kondom as if yeye hakushiriki mchakato

Ni kweli, tena anakulaumu huku yeye ndo iliyeiingiza
 
Hahahaha..uuuuu..iiiih,mkuu chibolo wanakufananisha na topasi nn?
 
Kuna mmoja alitapika serious baada ya kuona navaa buti eti inamchefua,na akaninyma papuchi.
 
Back
Top Bottom