Kwanini wanaume wengi wachovu kitandani?


Uwepo wa dawa za kuongeza nguvu sio ushahihi wa tatizo kwasababu kuwepo kwa dawa za kuongeza makalio haina maana wanawake wengi makalio yao ni mabaya au madogo siku hizi, bali ni maendeleo ya sayansi na technologia tu.
 
Tatizo midume ya xaxa ina vimada vingi,utakuta ametoka kwa vmada v2 af anarud nyumban na kushndwa kumfuraisha wife af anaic amerogwa kumbe amejiroga mwenyewe,me dem wangu akija ghetto habary nazipata kwa rafik zake na wala cjaenda kwa babu.
 
mmmh hv kimoja kinaweza kuwa cha ukweli kweli?

Usiombe ukutane na huyo mtu utaomba pooo mwenyewe,mara nyingine m/me ataki kujichosha ndio maana anstua ki1 analala zake,naweza nikapiga bao moja kwa dkk 45 can you stand for that?
 
hamna hawawezi kokote
wengine tumechezea number zote
tukubali tu ukweli wanaume tulio nao ni mwendo wa 1 bila moja bila

Pole Smile utakua hauna bahati kweli tafuta vijana wa 24----35 sasa wewe unatafuta vibabu ndio tatizo kisa vibabu vina hela.
 
Kweli lakini kuna vitu nimeviandika na wewe umevinadika pia, kuonesha kwamba tunakubaliana hebu rudia kusoma, kuacha kula vyakula vya asili na hata kuacha kufanya mazoezi..... hivi na wewe umeviandika kuonesha kwamba tunakubaliana, labda kwa kuwa umetaja viti vingi zaidi. Sijaandika kwa ajili ya kujifurahisha au kumfurahisha mtu ninafurahia kuweka thread hiyo hapa kwa kuwa hata wewe umeweza kuwafunza watu zaidi, asante.
 
mmmh hv kimoja kinaweza kuwa cha ukweli kweli?
Of coz! mm mwenyewe nisharudishiwa hela zangu na machangu kadhaa ambao nimewalipa tukatohoe kale ka-amri!
maana haraka haraka siwezi! napiga bao moja lakini bila kusugua kwa dakika arobaini na tano au lisaa hakijatoka!
cha pili bila masaa hakitoki! na muda wote nyenzo yangu imesimama kama mshale!
 
Unaweza kupiga kimoja lakini kikawa cha ukweli...
Hilo unalosema ni kweli lakini inatakiwa lichukua muda mrefu sana, tatizo hapa utakuta mwanaume kabla hata goma halijachanganya anamalizia sebuleni hata chumbani hajafika na kuwaacha wake zao na shombo. Hivyo wanaume wengi hawajui jinsi ya kuvuta muda ili waweze kuwafurahisha wake zao pamoja kujifurahisha wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…