Kwanini wanaume wengi siku hizi wanachepuka sana?

Wadau naomba mje hapa, hebu tujadili mapenzi kwa nyanja tofauti. Kwanini wanaume wengi sikuizi wanachepuka sana? Unaweza kua mdada unachura kubwa, sura nzuri lakini limwanaume lenyewe halibebeki hata ulipe penzi gani. Hivi wanaume wana matatizo gani. Mianaume yenyewe ya sikuiz ni kimoja tu limechoka. Yaani ni kero

Bongo sihami ng'oo

mwee....umegegedwa wewe tayari. huna jipya ata kama kakugegeda kimoja sii tayari ulishavuliwa chupi. lolote usemalo halina tija.

wacha tuchepuke maana papuchi kupata imekuwa rahisi na mwanamke mmoja pekee hawezi kuwa na msambwanda mzuri.
 
Wew enzi zako ulikuwaje? Ulidanga San?ulichukuwa wanaume za watu? Baada ya hapo ukaamua utulie?
Karma is a bitch
 
Back
Top Bottom