Kwanini wanaume wengi siku hizi wanachepuka sana?

Kwanini wanaume wengi siku hizi wanachepuka sana?

Mwanaume yeyote rijali ni kama panya. Kila mara anatamani shimo jipya.

Mwanamke usipolitambua hilo utapata tabu sana !

-Kaveli-
Aloo hii msg naiwahisha kwa EMS ili awahi kuipata.
 
Wadau naomba mje hapa, hebu tujadili mapenzi kwa nyanja tofauti. Kwanini wanaume wengi sikuizi wanachepuka sana? Unaweza kua mdada unachura kubwa, sura nzuri lakini limwanaume lenyewe halibebeki hata ulipe penzi gani. Hivi wanaume wana matatizo gani. Mianaume yenyewe ya sikuiz ni kimoja tu limechoka. Yaani ni kero

Bongo sihami ng'oo
Sasa utaogeleaje kwenye bwawa kila siku wakati kuna na vidimbwi
 
wana wake wa sasa mme zidi kuwa na K kubwa kama ndoo kwa nini tusi zidi kuchepuka kutafuta mbano
 
Wadau naomba mje hapa, hebu tujadili mapenzi kwa nyanja tofauti. Kwanini wanaume wengi sikuizi wanachepuka sana? Unaweza kua mdada unachura kubwa, sura nzuri lakini limwanaume lenyewe halibebeki hata ulipe penzi gani. Hivi wanaume wana matatizo gani. Mianaume yenyewe ya sikuiz ni kimoja tu limechoka. Yaani ni kero

Bongo sihami ng'oo
Ni lini wanaume walikua hawachepuki?

Raha ya penzi, lazima uwe na mchepuko bhana. Nakutana na wewe, hisia zipo kwa mwingine. Hapo ndo utamu unakua kunoga
 
Unaoa mke ambaye ameanza kuchokolewa tangu yuko darasa la tatu ladha ya ngono ilisha-xpire k imetanuka kama beseni ili nikojoe inabidi nivute hisia za demi mwingine ntakuwa mtulivu kwenye hiyo ndoa...??? Hizo nguvu za kiume na hisia zinatoka wapi...???? Kiukweli mwanamke huwa mzuri na mtamu ukiwa hujamla na kumjua yukoje...!!! Mmekaa kuambizana wanaume vibamia bila kujua nyie mna mabeseni yaliyokubuhu na kuota sugu...!!! Kwann nijitese kukupa raha wakati ulianzs miaka tele kabla yangu kwanini nisipige kimoja kujifurahisha nikisha cheuwa na kukuchafua nasepa mengine utajua wewe...!!
 
Mwanaume yeyote rijali ni kama panya. Kila mara anatamani shimo jipya.

Mwanamke usipolitambua hilo utapata tabu sana !

-Kaveli-
Hiki wanawake hawakielewi.

Kuwa tunaweza kuwa na handaki ambako tunalala lakini mchana wote tukashinda tunachimba mashimo mapya ambayo Wala hatutalala huko.

Wamejisahau kuwa men ni polygamist in nature. Hii ya mwanaume mmoja na mwanamke mmoja sijui nani aliileta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana kama yamekukuta. Yakishakukuta uanajifunza na kuwafunza watoto wako na wapendwa wako wengine. Tunatakiwa kujifunza kutokana na makosa, lakini siyo lazima yawe makosa yetu wenyewe.

Ongeza udhibiti kwa mumeo/mpenzi. Usimwachie nafasi ya kuwa na loose time na michepuko. Kiwa na full access na via a vyake vyote vya mawasiliano. Hata akiwa safarini keep him busy and costantly watched.

Ambao hawajaingia kwenye mtego huo kwa hali ya kudumu, awe makini kutafuta mwenza anayefaa. Usiangalie mwonekano au hali ya mali, elimu au kazi. Tafuta compatible soul-mate. Mtakayewezana na kuelewana katika hali zenu halisi.

Wanawake siku hizi wanahangaika sana kutafuta wanaume za watu, hadi wanahonga na hata kuloga. Wamecharuka kuliko wakati mwingine wowote.

Wanawake msidanganyike na CHURA zenu au mwonekano mzuri wa sura na maumbile. Men need more than that from his wife/ girl friend. Men need care, passion and attention more than women.

Jitahidi kuwa mpya kila mara kwenye mahusiano yako. Usiache mambo yajiendee ili mradi. Wanaume wengi waliochepuka hufanya hivyo kwa kuzidiwa ujanja na michepuko, na wengi huishi kwa kujuta.

Msaidie mwenzio kutoka kwenye mitego kwa upole na akili. Ukiwa mkali sana unampoteza.

Nitarudi ukihitaji meneno ya nyongeza

Sent using Jamii Forums mobile app
Akifanya hivyo ni kuongeza mistrust tu.
Atakutana na Mambo ya ajabu kuliko anayoyoyapitia Sasa hivi.!!
Hivi unajua kuwa kuna watu wanatoka nyumbani kwao asubuhi na mapema anapitia kwa Mchepuko na kupata kimoja fasta na kwenda kazini?

Jioni anawahi kurudi zake nyumbani mkewe anamuona muaminifu??
Kwa wanawake, mumeo ni wa kwako pale anapoingia chumbani mko pamoja.
Maana hata sebuleni unaweza kuwa na mwenzio mnashare ila hujui tu.
Hausigeli wako humo ndani anaweza kuwa kitulizi Cha mumeo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kila siku wanazaliwa watoto wazuri kuliko walokuwepo
 
Wadau naomba mje hapa, hebu tujadili mapenzi kwa nyanja tofauti. Kwanini wanaume wengi sikuizi wanachepuka sana? Unaweza kua mdada unachura kubwa, sura nzuri lakini limwanaume lenyewe halibebeki hata ulipe penzi gani. Hivi wanaume wana matatizo gani. Mianaume yenyewe ya sikuiz ni kimoja tu limechoka. Yaani ni kero

Bongo sihami ng'oo
Mbona kama umepanic? Tuanzie hapa,,umeolewa? Kama bado basi usimuite boy wako mchepukaji..
Kama umeolewa jichunguze mapezi sio kwichikwichi tu ni zaidi ya ku do.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dhana ya ndoa na familia katika Waraka wa Mtume Paulo kwa Waefeso
***************

Huyo jamaa hapo juu ndie alieleta habari za mke mmoja..sijui alilogagwa na nani huyu kilaza..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wanaume wanachepuka na akina nani?

Means kuna mwanamke pia amepewa kila kitu kwa nafasi yake na bado akachepuka na huyo mwanaume aliye na mwanamke tayari haijalishi yupo katika hali gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaoa mke ambaye ameanza kuchokolewa tangu yuko darasa la tatu ladha ya ngono ilisha-xpire k imetanuka kama beseni ili nikojoe inabidi nivute hisia za demi mwingine ntakuwa mtulivu kwenye hiyo ndoa...??? Hizo nguvu za kiume na hisia zinatoka wapi...???? Kiukweli mwanamke huwa mzuri na mtamu ukiwa hujamla na kumjua yukoje...!!! Mmekaa kuambizana wanaume vibamia bila kujua nyie mna mabeseni yaliyokubuhu na kuota sugu...!!! Kwann nijitese kukupa raha wakati ulianzs miaka tele kabla yangu kwanini nisipige kimoja kujifurahisha nikisha cheuwa na kukuchafua nasepa mengine utajua wewe...!!
Aloo K kubwa ni mwarobaini wa mwanaume rijali.
 
mwanaume kama mshambuliaji kwenye timu; kila timu pinzani anayokutana nayo anatamani kutupia...
 
Wadau naomba mje hapa, hebu tujadili mapenzi kwa nyanja tofauti. Kwanini wanaume wengi sikuizi wanachepuka sana? Unaweza kua mdada unachura kubwa, sura nzuri lakini limwanaume lenyewe halibebeki hata ulipe penzi gani. Hivi wanaume wana matatizo gani. Mianaume yenyewe ya sikuiz ni kimoja tu limechoka. Yaani ni kero

Bongo sihami ng'oo
tunachepuka kwa sababu ya mchuzi wa pweza
 
Back
Top Bottom