OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,323
Oa ivyo ivyo ..imeandikwa utakula kwa jasho πππWanaume tuliofikia umri wa kuoa kuanzia miaka 20 mpaka 35 tupo mtaani tuna pita kwenye tanuri la moto la kutokuwa na kazi ya uhakika na kutotimiza milo mitatu halafu ukimbilie kuoa hapo itakuwa unakimbilia kifo mkuu na wao wanataka wanaume wenye pesa.
HapanaHivi Hilo shepu kwenye avatar ni lako?
Mambo mamaHapana
Mkuu dhamira inakusuta umeamua utubu jamviniKiukweli,
Vijana muoe,
Narudia Tena, vijana muoe.
Ndoa Ina Raha yake Bhana[emoji4]
Mke wangu MAMA G nakuombea sana MUNGU akupe maisha marefu.
Japo nachepuka Sana,
ila UKWELI wee ndo nnaekupenda Sana MKE wangu.
Na HAKIKA, SIJUTII kabisa KUKUOA[emoji120]
Unaonekana ni age go weweKiukweli,
Vijana muoe,
Narudia Tena, vijana muoe.
Ndoa Ina Raha yake Bhana[emoji4]
Mke wangu MAMA G nakuombea sana MUNGU akupe maisha marefu.
Japo nachepuka Sana,
ila UKWELI wee ndo nnaekupenda Sana MKE wangu.
Na HAKIKA, SIJUTII kabisa KUKUOA[emoji120]
Inauma sana, kuna wanawake kuwa treat vibaya ni laana. They are very innocentHuruma,kuna vituko nimeshavifanya mtu analia hata siku nne na ukitazama hana ramani huko kwao inabid muda mwingine kumvumilia
Mbona wanawake wanalalamika siku hizi kuwa hawaoni waoaji, kwani vipi wanaume siku hizi mnaogopa kuoa au ponyeto inafanya kazi uko kwenu?
Chukueni majiko bwana tupunguze idadi ya wanawake wengi ma single mitaani
Ila wanawake na Ninyi mmezidi bwana
Zile kauli zenu mnataka wanaume warefu zilishia wapi?
Yaani siku hizi imekuwa shida ukimtongoza mwanamke hapo hapo hivyo unakuwa mume
Na bado
Mpaka Neno la nabii isaya litimie :ISAYA 4
1Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, βChakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu, uturuhusu tuitwe kwa jina lako.
Truth will set u free.Siku hizi unaoa ili upate nini?
Kama ni mbususu zipo za kumwaga.
Kama ni mtoto unaweza kumpata hata bila kuoa.
Mapenzi menyewe yamegeuka na kuwa biashara.
Na ukijichanganya ukaoa hawa wasomi uchwara hawa wanaharakati ndo umekwisha kabisa.
Ni lazima kupiga mahesabu sana aisee vinginevyo ndoa siku hizi ni liability kubwa inayoweza kugharimu maisha yako....
View attachment 2181078
Hili shape jamani linipagawisha wengi....ebu nitumie picha ya hilo shape pmHapana
Kwa kweli sie bodaboda hatuwezi kuoa wacha tuwale hawa wasichana wa fomfoo B na wake za watu maana warembo wanataka chill na big boysSio wote mkuu, kuna kina sie tunahitaji wa kuwaoa, ila mamanzi wengi wanaanza uliza
Unafanya kazi gani???
Mshahara wako shi ngapi???
Umejenga???
Sasa anakuta mwamba una ka-subwoofer, kitanda,taulo na ndala za kuogea ,anachora , anataka mtu mwenye Benz au V8.
Eee Mungu walainishe mioyo hawa wadada wakubaliane na hali zetu...
Ukweli mtupuWanaume tuliofikia umri wa kuoa kuanzia miaka 20 mpaka 35 tupo mtaani tuna pita kwenye tanuri la moto la kutokuwa na kazi ya uhakika na kutotimiza milo mitatu halafu ukimbilie kuoa hapo itakuwa unakimbilia kifo mkuu na wao wanataka wanaume wenye pesa.
Mama zetu wasingeolewa tusingezaliwa mkuu.Kuoa ni Sawa na kufuga chatu ambaye hata hujuwi utamlisha nini.
Kuna siku njaa itamzidi na atakumeza wewe unayemfuga .
Mwanamke ni mdudu mbaya Sana hapa duniani.
Wengi wameharibikiwa sababu ya mwanamke.
Ni Bora kukaa nae mbali kabisa.
Kuliko kuishi nae nyumba moja.
Kwa kweli sie bodaboda hatuwezi kuoa wacha tuwale hawa wasichana wa fomfoo B na wake za watu maana warembo wanataka chill na big boys