Kwanini wanaume wengi hawataki kuoa?

Mkuu hivi unazani Kwa maisha ya mtanzania wa kawaida ili kumudu maisha inabd awe anakipato Cha shngap Kwa siku? Wengine tunaona kiuchumi bado hatupo sawa
 
Sasa sii umbwage tuu kwani lazima ukae kwenye ndoa
Huruma,kuna vituko nimeshavifanya mtu analia hata siku nne na ukitazama hana ramani huko kwao inabid muda mwingine kumvumilia
 
Kuna jamaa yangu yeye kauli yake huwa "maziwa napata, sasa nifuge ng'ombe wa nini"
[emoji23], ni kama masihara ika kuna kaukweli ndani. Dada zetu hawana mipango, wao wanatoa tu mzigo, akiitwa getho anakaa wiki 2, jamaa anaichabangaaa, binti anaondoka kaishasafisha nyumba, kafua na kila kitu, sasa hapowajuba ngumu kuoa.
 
Huo ni ukweli kabisa maziwa tunapata sasa kufugana ya nini tena
 
Amorniza ana vituko sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
"Konde bwoy comi namba one, so much money in the bank Man...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…