Mbona wanawake wanalalamika siku hizi kuwa hawaoni waoaji, kwani vipi wanaume siku hizi mnaogopa kuoa au ponyeto inafanya kazi uko kwenu?
Chukueni majiko bwana tupunguze idadi ya wanawake wengi ma single mitaani
Ila wanawake na Ninyi mmezidi bwana
Zile kauli zenu mnataka wanaume warefu zilishia wapi?
Yaani siku hizi imekuwa shida ukimtongoza mwanamke hapo hapo hivyo unakuwa mume
Na bado
Mpaka Neno la nabii isaya litimie :ISAYA 4
1Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu, uturuhusu tuitwe kwa jina lako.