Leo Nina jambo moja tu nataka kujua kutoka kwa wanaume, Wanaume wengi kwann mkiwa katika mahusiano n mpenz, mchumba au mtu ambae una mahusiano nae hampend kueleza ukweli wenu juu ya maisha yenu mpaka mnadanganya na kusem uwongo, mfano Nina gari, nyumba na,,,,,,,,,,,vitu ving tu na kujisifu, mwisho wa siku unakuj kujua mapenz yameiva, hivi nini sababu ya kudanganya, nisaidieni jamni
Umeongea Vema na ukweli toka moyoni mwako...nikuulize...
natumaini unapenda kuwa/kuwa na mtu mwenye Gari/nyumba,na asset nyingine.
Wanaume wana akili sana sana sana...wanajua kuwa sasa hivi mahitaji yenu yamebadilika,na wako very sensitive na muda kujua ni wakati gani mnahitaji nini...
1.Unakuta mwanaume anakupenda tena sana sana tuu halafu wewe umeweka vigezo vikubwa sana,tena utakuta yeye kajipima kaona anaweza kuishi na wewe ila wewe ktk maongezi tuu unaongelea ukiolewa tuu uhamie kwako,mjini uende na Harrier/Rav 4.hapo nimezungumzia Mwanamke wa kawaida wa mjini,sijazungumzia wale wa Range,ghorafa masaki...hapana.
2.Wakati huo kijana ndo kwanza kamaliza Chuo ana mwaka wa Pili kazini.hapo lazima udanganywe tuuu
hata yule atakavyokuwa navyo na akakuoa,huwa anajua fika kabisa kwamba miongoni mwa vitu ulivyompendea ni mali Zake...sasa unategemea nini,binadamu tena wa Kiume,hugundua haraka sana kitu utakachompendea...
sasa vikiisha ndo unaanza kulia lia...
Wadada pia puguzeni maisha ya kwenye Tamthilia....,kujilinganisha na wengine
3.Wengine wanaolewa kwa haraka eti Umri umeenda,umri wenyewe eti 28yrs,Tatizo wadada wanapanga maisha awe ameolewa kabla ya 28yrs,matokeo yake huanza kilia lia na ndoa... hivyo anaharakisha kuolewa hata kama sio chaguo lake...
au mashosti zake wameolewa na yeye ataonekana vipi,kwa hiyo atataka kuolewa ili awaringishie wenzake...