Kwanini wanaume wengi hawapendi kueleza ukweli wao?

Leo Nina jambo moja tu nataka kujua kutoka kwa wanaume, Wanaume wengi kwann mkiwa katika mahusiano n mpenz, mchumba au mtu ambae una mahusiano nae hampend kueleza ukweli wenu juu ya maisha yenu mpaka mnadanganya na kusem uwongo, mfano Nina gari, nyumba na,,,,,,,,,,,vitu ving tu na kujisifu, mwisho wa siku unakuj kujua mapenz yameiva, hivi nini sababu ya kudanganya, nisaidieni jamni
Hahahahaaaa. Si ulisema unataka mwanaume wa Dar? Usishangae ndiyo matokeo.
 
Leo nina jambo moja tu nataka kujua kutoka kwa wanaume, wanaume wengi kwanini mkiwa katika mahusiano na mpenzi, mchumba au mtu ambaye una mahusiano nae hampendi kueleza ukweli wenu juu ya maisha yenu mpaka mnadanganya na kusema uongo, mfano nina gari, nyumba na vitu vingi tu na kujisifu, mwisho wa siku unakuja kujua mapenzi yameiva, hivi nini sababu ya kudanganya, nisaidieni jamani.

nikikuambia ukweli kua mimi nikapuka utanipa dodo kweli dada angu???maana nyie mkisikia flani ana gari ata chupi mnavua hapo happo
 
Kusema uongo ni sehemu muhimu ktk kutongoza. Pia wanawake wanapenda kusikia kile wanacho penda .so we sema uongo
 
Sababu ya kudanganya ni ili nyie muingie kumi na nane zetu sababu mnadanganyika sana.
 
Leo nina jambo moja tu nataka kujua kutoka kwa wanaume, wanaume wengi kwanini mkiwa katika mahusiano na mpenzi, mchumba au mtu ambaye una mahusiano nae hampendi kueleza ukweli wenu juu ya maisha yenu mpaka mnadanganya na kusema uongo, mfano nina gari, nyumba na vitu vingi tu na kujisifu, mwisho wa siku unakuja kujua mapenzi yameiva, hivi nini sababu ya kudanganya, nisaidieni jamani.
mi sidanganyagi nakuchana live ukae au usepe ilimradi akili yangu niko vizuri ya maisha....wa kuchapana tu ndio mmnaambiwa magari ili ukolee uachie papuchi maana mademu wengine kwa magari tuu hoi...mahusiano sio gari nyumba hizo ni basic needs
 
Hakuna mwanaume mkweli dunian my dear
Wewe issabella.. Wanaume wa kweli wapo.... Tena mimi ni mmoja wapo.. Huwa nikiwambiaga ukweli wanadhani nadaganya kutokana na mwili wa wangu kua mkubwa...huwa niki wambia naishi chumba kimoja cha kawaida.. Nakula ugali marahage wanabishia...nawapeleka ghetto and they appreciate...it
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Leo nina jambo moja tu nataka kujua kutoka kwa wanaume, wanaume wengi kwanini mkiwa katika mahusiano na mpenzi, mchumba au mtu ambaye una mahusiano nae hampendi kueleza ukweli wenu juu ya maisha yenu mpaka mnadanganya na kusema uongo, mfano nina gari, nyumba na vitu vingi tu na kujisifu, mwisho wa siku unakuja kujua mapenzi yameiva, hivi nini sababu ya kudanganya, nisaidieni jamani.
Kama huyo kwenye avatar ni wewe. No wonder ur looking for someone with fucking rav 4.
 
Leo nina jambo moja tu nataka kujua kutoka kwa wanaume, wanaume wengi kwanini mkiwa katika mahusiano na mpenzi, mchumba au mtu ambaye una mahusiano nae hampendi kueleza ukweli wenu juu ya maisha yenu mpaka mnadanganya na kusema uongo, mfano nina gari, nyumba na vitu vingi tu na kujisifu, mwisho wa siku unakuja kujua mapenzi yameiva, hivi nini sababu ya kudanganya, nisaidieni jamani.
Tulishajua dawa yenu ni kuwadanganya, tukisema ukweli hatuwapati
 
Kam hivyo ulimdangany kwanza then baadae ndo ukamwambia ukweli, kiukwli hata mm sipend kitu kam hicho n nakupig kibuti kweli
utapiga kibuti sa ngapi wakati ushetafunwa sanaaaaa ?? hapo kibuti hakina maana kwakuwa nilikuwa nshejua kitakachotokea bidae ni hicho. lkn ndo ushetafunwa bibiiiiloooooo!!! kibuti hapo hakina dil
 
Tatizo linaadha pale anakutongoza unasema humtaki kumbe unamtaka, sijui nipo bikira kumbe bwawa, unampa jina sio lako. na yeye ndio huja na uongo mwengine ili apate anachukitaka(mzinifu huzidiwa maarifa na mzinifu mweziwe) Umeuza cheni feki, amekupa hela badia.
hahahahaaaa hii ndo parasetamol yao. safi sansan bwan wew
 
Back
Top Bottom