Kwanini wanaume wengi hawapendi kueleza ukweli wao?

Kwanini wanaume wengi hawapendi kueleza ukweli wao?

Leo nina jambo moja tu nataka kujua kutoka kwa wanaume, wanaume wengi kwanini mkiwa katika mahusiano na mpenzi, mchumba au mtu ambaye una mahusiano nae hampendi kueleza ukweli wenu juu ya maisha yenu mpaka mnadanganya na kusema uongo, mfano nina gari, nyumba na vitu vingi tu na kujisifu, mwisho wa siku unakuja kujua mapenzi yameiva, hivi nini sababu ya kudanganya, nisaidieni jamani.
kama kweli upo interested kuwa kwenye uhusiano na huyo mwanaume kwann usionyeshe dalili za kumpenda kwajinsi alivyo?mwanaume humdanganya msichana kutokana na pozi anazoletewa na huyo msichana,inabidi atumie nguvu ya ziada kukupata wewe.........

na mwanaume akianza kwa gia za uongo jua hata akikwambia ukweli hutompenda kwa jinsi alivyo ndo maana kakudanganya ili atimize lengo lake....namaliza kwa kusema acheni tamaa
 
Back
Top Bottom