Kwanini wanaume wanavutiwa sana na mabinti wenye chini ya miaka 20?

Zinaa huondoa haya na aibu machoni mwa mwanadamu.....mwanamume mtu mzima unaanzaje kumrubuni binti ambaye yuko sawa na binti yako huko nyumbani unayejidai unamsomesha na unataka afike mbali kielimu......kama sio ushetani ni nini...!!?!

Mwanamume mtu mzima unawazaje kumchua chupi mtoto wa mwanamume mwenzio ambaye anasoma na wewe ukiwa unasomesha wa kwako na unajua gharama za masomo na uthamani wa elimu.....!!!???

Mwanamume mtu mzima ambaye unajua maana ya familia na ustawi wake unawezaje kukaa kujisifia kufanya uharibifu kwa mabinti za watu kama sio ufedhuri ni kitu gani..!??

Alafu haishangazi kukuta watu hao wanaotuharibia wajuu zetu ndio wamejaa kwenye asasi mbali mbali za kiraia na kiserikali za kumuwezesha mtoto wa kike....wakati yenyewe ndio masheitwani kasoro mikia yanayoharibu wajukuu zetu......

Mimi ningependekeza mabazazi kama haya yakikamatwa yachomwe moto tu maana sasa hakuna namna.....na hayana faida kwenye ta kuishi kwenye jamii ya watu wastaarabu....

Kabla hujafikiria kuelekea gesti na huyo mtoto wa watu...kumbuka kuwa pengine wewe una watoto wako wa kike hapo nyumbani hata kama ni wadogo au una watoto wa kike wa ndugu yako huko kwenu anaweza kuwa ni mtoto wa dada yako au wa kaka zako au hata wadogo zako......au hata kama huna lakini una matarajio ya kuoa na kuanzisha familia.....hebu vaa uhusika wa baba ambaye kamfuma bazazi akiwa na binti yake ambaye anasoma na ana mipango mingi naye ya baadaye.....kwa hakika ni jambo lenye kukera hasa kwa mtu mwenye kujua uchungu wa mwana.....sasa kama na wewe mwenye unakereka na jambo hilo kwanini unamfanyia mtoto wa mwenzio....ambapo hata nafsi yako inakusuta.....!!???
Kwanini tunaishi kwenye unafiki mwingi wa kusema kuwa watoto ni taifa la kesho hali ya kuwa sisi ndio tupo mstari wa mbele kuliangamiza hilo taifa la kesho...!!!??

Kibaya zaidi na zaidi hata humu ambapo inaonekana kuwa kuna watu kidogo waliopita pita huko kwenye majengo ya shule...ndio watu wa kwanza kuunga mkono upuuzi huu kwa kudhani kuwa ni jambo lenye sifa au lenye kuonyesha uanaume......wengine mpaka wanachukua muda wao mzuri kwa kukomenti kuwa ni WATAMU BALAA.....alafu unaweza kushangaa hilo lijitu ni likurugenzi kwenye NGO moja inayoshughulika na masuala ya kumuwezesha mtoto wa kike.....
Tunaipeleka wapi dunia hii......tumeziacha wapi akili zetu na fahamu zetu....maana mambo hayawezi kufanywa na mtu mwenye akili zake na ufahamu wake...maana ni jambo ambalo hata kwenye nafsi yako linakukera....kama sio usheitwani ni kitu gani........kwanini usioneshe uanaume wako kwenye kupambana majukumu ya familia yako..na kuwajengea ustawi vizazi vyako....

Kwanini mods wanaruhusu uzi kama huu uendelee kuchangiwa na hawa mabazazi hawaoni kuwa ndio wanalitangaza jambo hilo na kulifanya lipate na lionekane kuwa ni la kawaida...au wao hawana watoto wa kike.... ..!!!!???

Hawajui jinsi gani wazazi wanavyojinyima ili watoto wao hasa wa kike wasome ili wapate kusimama wenyewe huko baadae....ndio maanaa kuna majitu yanakumbwa na malaana ya ajabu ajabu tu kwa ushenzi wanao ufanya kwa watu wengine kwa kuendekeza matakwa ya nafsi zao......

Laana iwashukie wale wote mnaoharibu mabinti za watu......

Hivyo mnavyowatendea mabinti za wenzenu na nyinyi mabinit wetendewe hivyo hivyo.......jino kwa jino....
Muulize Mwewe kwanini yeye anavifaranga lakini anahitaji Vya KUKU
 
Hawa over25 unaweza mtajia guest 5 za kwenda akakutajia mapungufu yake yote, mara vitanda vyake vimelegea, ingine kunakupigwa chabo na mkienda hiyo anayotaka mkiingia tu chumbani hujashangaa mazingira ukimgeukia unakuta nguo zote ziko chini, hamu yenyewe inaisha.
 
Most of them ingine zao ni 0km
Tapet zinakuwa hazigong na hazivujishi oil oilseal zote zinakuwa intact
 
mie huwa napendelea zaidi wanafunzi wa sekondary hasa form two sijawahi kujutia kabisaaaaa

Wewe endelea tu na tabia yako hiyo naona jela inakuita, na sasa hivi imepitishwa sheria ukimpa mimba mwanafunzi ni jela miaka 30.
 
Zinaa huondoa haya na aibu machoni mwa mwanadamu.....mwanamume mtu mzima unaanzaje kumrubuni binti ambaye yuko sawa na binti yako huko nyumbani unayejidai unamsomesha na unataka afike mbali kielimu......kama sio ushetani ni nini...!!?!

Mwanamume mtu mzima unawazaje kumchua chupi mtoto wa mwanamume mwenzio ambaye anasoma na wewe ukiwa unasomesha wa kwako na unajua gharama za masomo na uthamani wa elimu.....!!!???

Mwanamume mtu mzima ambaye unajua maana ya familia na ustawi wake unawezaje kukaa kujisifia kufanya uharibifu kwa mabinti za watu kama sio ufedhuri ni kitu gani..!??

Alafu haishangazi kukuta watu hao wanaotuharibia wajuu zetu ndio wamejaa kwenye asasi mbali mbali za kiraia na kiserikali za kumuwezesha mtoto wa kike....wakati yenyewe ndio masheitwani kasoro mikia yanayoharibu wajukuu zetu......

Mimi ningependekeza mabazazi kama haya yakikamatwa yachomwe moto tu maana sasa hakuna namna.....na hayana faida kwenye ta kuishi kwenye jamii ya watu wastaarabu....

Kabla hujafikiria kuelekea gesti na huyo mtoto wa watu...kumbuka kuwa pengine wewe una watoto wako wa kike hapo nyumbani hata kama ni wadogo au una watoto wa kike wa ndugu yako huko kwenu anaweza kuwa ni mtoto wa dada yako au wa kaka zako au hata wadogo zako......au hata kama huna lakini una matarajio ya kuoa na kuanzisha familia.....hebu vaa uhusika wa baba ambaye kamfuma bazazi akiwa na binti yake ambaye anasoma na ana mipango mingi naye ya baadaye.....kwa hakika ni jambo lenye kukera hasa kwa mtu mwenye kujua uchungu wa mwana.....sasa kama na wewe mwenye unakereka na jambo hilo kwanini unamfanyia mtoto wa mwenzio....ambapo hata nafsi yako inakusuta.....!!???
Kwanini tunaishi kwenye unafiki mwingi wa kusema kuwa watoto ni taifa la kesho hali ya kuwa sisi ndio tupo mstari wa mbele kuliangamiza hilo taifa la kesho...!!!??

Kibaya zaidi na zaidi hata humu ambapo inaonekana kuwa kuna watu kidogo waliopita pita huko kwenye majengo ya shule...ndio watu wa kwanza kuunga mkono upuuzi huu kwa kudhani kuwa ni jambo lenye sifa au lenye kuonyesha uanaume......wengine mpaka wanachukua muda wao mzuri kwa kukomenti kuwa ni WATAMU BALAA.....alafu unaweza kushangaa hilo lijitu ni likurugenzi kwenye NGO moja inayoshughulika na masuala ya kumuwezesha mtoto wa kike.....
Tunaipeleka wapi dunia hii......tumeziacha wapi akili zetu na fahamu zetu....maana mambo hayawezi kufanywa na mtu mwenye akili zake na ufahamu wake...maana ni jambo ambalo hata kwenye nafsi yako linakukera....kama sio usheitwani ni kitu gani........kwanini usioneshe uanaume wako kwenye kupambana majukumu ya familia yako..na kuwajengea ustawi vizazi vyako....

Kwanini mods wanaruhusu uzi kama huu uendelee kuchangiwa na hawa mabazazi hawaoni kuwa ndio wanalitangaza jambo hilo na kulifanya lipate na lionekane kuwa ni la kawaida...au wao hawana watoto wa kike.... ..!!!!???

Hawajui jinsi gani wazazi wanavyojinyima ili watoto wao hasa wa kike wasome ili wapate kusimama wenyewe huko baadae....ndio maanaa kuna majitu yanakumbwa na malaana ya ajabu ajabu tu kwa ushenzi wanao ufanya kwa watu wengine kwa kuendekeza matakwa ya nafsi zao......

Laana iwashukie wale wote mnaoharibu mabinti za watu......

Hivyo mnavyowatendea mabinti za wenzenu na nyinyi mabinit wetendewe hivyo hivyo.......jino kwa jino....

Big up kaka, yaani wanaume wa Tanzania ni shida, sijui kwa nini wanapenda kutongoza mabinti zao na kuwarubuni ile wafanye nao ngono. Ni ujinga tu. Na leo sheria imepitishwa atakayempa mimba mwanafunzi ambaye yuko chini ya miaka 18, atachezea jela miaka 30. Hii itakomesha wanaume ambao hawawezi ku contol hisiazao kwa watoto wadodo.
 
Nilikuwa kijiji fulani mzee mmoja akasema ....huwa inabana kama imeshikwa na mkono
 
Back
Top Bottom