Kwanini wanaume wanasumbuka sana ili mwanamke afike?

Kwanini wanaume wanasumbuka sana ili mwanamke afike?

Inategemea upo katika mahusiano yapi ili ufike kwenye paa

Kama umo katika mapenzi ya show time usitegemee kuona mwanamke akifika na wewe kwenye paa katika mahusiano ya show time mwanaume kufika kwenye paa haraka huku mwanamke asiweze hata kupata hisia za ngono

Lakini pia waweza ukawa katika mahusiano ya Pete na wote msifike katika paa hili hutegemea mahusiano yenu yako vipi hasa mnapo kuwa mmevua nguo
Ikiwa kuna anae ogopa sehem za siri za mwenzie daima hata mkae katika ndoa miaka mia hamtaweza kufika pamoja kwenye paa

Swala la kujamiana linahitaji ujasiri na hisia kila mmoja lazima ajifunze hisia za mwenzie kabla yakuingiliana kimwili mahusiano ya kitandani hayaingiliani na mahusiano ya sebureni

Ndoa nyingi zimekosa utulivu kwa kukosekana kukubaliana katika jambo lakujamiana mala nyingi sehem za maumbile hutofautiana kwa mbali ndivyo ilivyo hata katika kujamiana hupelekea mmoja kumaliza haraka huku mwingine akitafuta njia mbadala

Nimuhimu sana kuwepo sexes meeting kabla yakufanya sex ili kila mmoja afunguke kwa mwezi wake kuhusu kile anacho kikosa pindi awapo kwenye game
 
Katika majukum mengiii ya mwanume
Jukum la kumfikisha mwanamke kileleni si la lazima kaibsa
 
Sio kila mwanamke anafika kileleni,kuna wengine wanajifikisha ili mradi atue mzigo(mwili wenu) . akuibie(akuchune pesa ndefu) ujione kidume umemuweza kweli kumbe walaa anakuchora tu.
Umalize haraka aende zake au akafanye shughuli nyingine
wasiofika wana matatizo yao tu
 
Ukiangalia Wanaume wanasumbuliwa zaidi na Mwanamke kutokufikia kileleni kuliko hata ya Mwanamke mwenyewe, kwa nini lakini? Kwa uzoefu wangu Wanawake wengi wala siyo ishu kihivyo, ...
Kunawengine hata akichukua malaya bado anajituma amfikishe kileleni, kisha bado anampa pesa. hii ni sawa na mchezaji kutozwa kiingilio kwenye mechi anayoenda chenza mwenyewe.
 
Back
Top Bottom