Kwanini wanaume wanasumbuka sana ili mwanamke afike?

Kwanini wanaume wanasumbuka sana ili mwanamke afike?

Ukimpenda mwanaume huwezi kukumbuka ni mara ngapi kakufikisha kileleni. Mda wote ni kileleni tu.

Wanawake ndivyo tulivyo. Kama umpendi mda wote unawaza si litoke tuuu!

Kwa hiyo unaweza kulala na Mwanaume usiyempenda? Yaani unaweza kutenganisha Mapenzi na Sex?
 
Sio kila mwanamke anafika kileleni,kuna wengine wanajifikisha ili mradi atue mzigo(mwili wenu) . akuibie(akuchune pesa ndefu) ujione kidume umemuweza kweli kumbe walaa anakuchora tu.
Umalize haraka aende zake au akafanye shughuli nyingine
Duuuh pesa INA nguvu kuliko hisia
 
Eti umesema?????
Daby nitakuwa na matumizi nawe soon.
Kwa jina la baba na mwana....

Baba ulisema na aombaye atapewa.
Aliye na tumaini atatumanika.
Aliye na imani atapona.

Nifungulie milango ya moyo huu kama ulivyofanya kwa Paulo na sila baba.
 
Kwa jina la baba na mwana....

Baba ulisema na aombaye atapewa.
Aliye na tumaini atatumanika.
Aliye na imani atapona.

Nifungulie milango ya moyo huu kama ulivyofanya kwa Paulo na sila baba.
Sasa unajiombea badala uniombee maana kilele nitakisikia tu[emoji134] [emoji134]
 
Sasa unajiombea badala uniombee maana kilele nitakisikia tu[emoji134] [emoji134]
Kwa hiyo shemeji kileleni unakisikia tu humu jukwaani!

Sasa kama anashindwa kukufikisha hiki kisicho na nauli je cha pesa unafika kweli?
 
Kwa hiyo shemeji kileleni unakisikia tu humu jukwaani!

Sasa kama anashindwa kukufikisha hiki kisicho na nauli je cha pesa unafika kweli?
Yaani acha tu shemeji yangu, hapa nina majonzi hatari.
 
Umpe pesa(umhonge), umpe nauli kuja na kurudi, umpe chakula na vinywaji...halafu uwe na jukumu la kumpandisha kitonga. Labda kwa wife, sio concubine!!!
 
Back
Top Bottom