Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,061
Unakuta mwanaume anazunguka na panga tu mkononi hakuna cha maanaLabda waende mjini maana wakibaki kule maskan mwanamke anakuwa mgumu kuliko hata mwanaume kwa sababu ya kazi na majukumu ya malezi ...kama kwenda shamban kule n kazi ya wanawake wanaume wanasema hawawez kulima