Mtoto wa Baba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,123
- 4,026
Issue hapa siyo hata 50 /50 ila tu walishagundua wanaibiwa...we n ndoa gani mume anakaa arusha mke rombo miaka 15???Hahahaha, wanajitetea na 50/50 kumbe wanakwepa kushinda kwenye migomba na kahawa.