Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,232
- 40,734
- Thread starter
- #41
Asante,najua Mungu nimwema atanipa wa kufanana naye....sijawahi kutotaka kuoa Mkuu ni muda tu niliona niwe na maandalizi Kiasi fulani nisisumbue watu michangoAhaah, hakika umefikiria kufanya jambo jema, hizo picha na hayo maneno yametengenezwa na senior bachelor wenzio ili chama chao kisiyumbe.
Hebu jaribu kuangalia picha za baba yako na mama yako toka wakiwa vijana mpaka wanazeeka (kama zipo), nafikiri hapa utatambua kampeni yao.
Nb:-
Maandiko yanasema mke MWEMA, anapatikana kwa Bwana, kila la kheri na karibu chamani.