Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
Yesu akasasema "asiye na dhambi na awe wa kwanza kutupa jiwe, baada ya kusikia hivyo wote wakatawanyika wakaenda zao"Msinihusishe kwenye dhambi yenu ya kuchepushana[emoji57]
Yesu akasasema "asiye na dhambi na awe wa kwanza kutupa jiwe, baada ya kusikia hivyo wote wakatawanyika wakaenda zao"Msinihusishe kwenye dhambi yenu ya kuchepushana[emoji57]
HARAKANdo maana mnakufa
Dhambi ninazo ila siko tayari kujihusisha na dhambi zenu za kuchepuka/kuchepusha/kuchepushwa na kuchepushana![emoji57]Yesu akasasema "asiye na dhambi na awe wa kwanza kutupa jiwe, baada ya kusikia hivyo wote wakatawanyika wakaenda zao"
Na heshima huisha inafikia unasimuliwa story za ma X wake unabaki kuumia ndani kwa ndaniMkanganyiko wa maisha unapelekea hii hali. Especially ukiingia kwenye ndoa while ndio unaanza kupanda maisha.