Unasema kweli lakini mali mpya haziishi .... Huwa kuna kitu kinatafutwa hasa .? hapo tu ndo natamani kujua
ukiona hivyo ujue mwanamke ana matatizo.. ina umiza sana kuwa na mwanamke mpumbavu hata kama ni mrembo kiasi gani.Unakuta mwanaume ameoa mke ni mzuri wa sura shepu na sifa nyingi ..Lakini bado macho haya pazia .... Ni kwanini asilimia kubwa ya wanaume hawapendi kutulia indeed na wake zao?? tusaidiane wadau
Hapa sipingi nakubaliana na weweukiona hivyo ujue mwanamke ana matatizo.. ina umiza sana kuwa na mwanamke mpumbavu hata kama ni mrembo kiasi gani.
Hahah okey. Kashanijibu. Pole.Halina mantiki ndo maana hujibiwi.
Nimekimbilia kwenye ile thread ili nichukue ile namba yake nimekuta ameshaedit na kuiondoa!!..........najuta kwa nini siku ile nilisita kuichukua!![emoji24] [emoji24] [emoji24]Hahahhaha....hilo ndio jibu..mana sio kwa thread hizi za mausiku manenee.....[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Halafu kuna namba yake ya simu somewhere kapost.hebu nenda kamfariji jirani....
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Asikudanganye mtu wanawake wazuri bado hawajaolewa....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ndo hawa tunagonga nao
Chiac huku kijiwen aiseee
Hahahhaha....hilo ndio jibu..mana sio kwa thread hizi za mausiku manenee.....[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Halafu kuna namba yake ya simu somewhere kapost.hebu nenda kamfariji jirani....
Pole sana nilijua tu aliniyependa zaidi ..alinishtua[emoji12][emoji12]Nimekimbilia kwenye ile thread ili nichukue ile namba yake nimekuta ameshaedit na kuiondoa!!..........najuta kwa nini siku ile nilisita kuichukua!![emoji24] [emoji24] [emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ha ha ha ha tena Zimefuatana nkajua huyu yashamkuta tayar aiseee
Kaiweka wap tena jiran hyo namba niwah mapema mapema kabla watu hawajaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]