Kwanini wanaume hawafanyi hivi?

Ushindani wa wao kwa wao kila mwanamke anataka mume na wanaume hawana time, ili kulinda asipokonywe, ni Ndumba tu ukitaka utajiri wa ghafla ni kuwa mganga ktk nyanja hizi, yeye anapewa mshahara kwa yote;

Mwanamke anasomeshewa watoto, bure, analipwa uwepo wake pale,

Anapewa machejo bure,

Nyumba bure, Akifa mume ni yake hiyo.

Ana uwezo wa kuua mme bure, hkn wa kumuuliza.

anaweza kukupa chochote kama limbwata bure, na ukawa vyovyote zezeta bila maswali.

anaweza kukuzuia usiende kazini bure!

anapika, kula na kunywa atakavyo bure,

ukienda kazini au safari anaweza tumia mchepuko wake ndani kwako buree

anacheza mchezo kwa hela ya bureeee!

anasomeshwa bure mpaka chuo kikuu halafu anakuacha hapo bure.

Analia bure, bila mume hana pa kulilia.

Nguo chakula, joto, furaha, Ulinzi,watoto, makofi, mateke, kusali, Bure MPAKA KIFO

Wanaume hawaaminiki muda wowote upepo wa kisulisuli unambeba anakwenda kwa mwingine anakuachaia koti tu hapo.
hayo yoote lazima atafute limbwata tu, hata km ni mimi lazima nikukomeshe, nikuvune mpaka ukome.
Umetiririka mkuu, ni muhanga Nini?

Ila ndio maana lifespan ya ME ni ndogo mno kutokana na hayo mazaga zaga uliyoyaelezea.
 
Da
Umetiririka mkuu, ni muhanga Nini?

Ila ndio maana lifespan ya ME ni ndogo mno kutokana na hayo mazaga zaga uliyoyaelezea.
Daaaa! mkuu yaani, mwanaume akilegea tu akapata Limbwata part one Kwishnei! hasa hasa km familia ya nyumbani kwenu ulikotoka si watu wakulialia shida kwako, utaipata!

utakuwa wewe na yeye tu. source of income, kwani kwetu wanataka nini? Matunzo na mshahara tunaowalipa!,
 
Kama huna akili usioe wala usihangaike ktafuta mwanamke. Tumeambiwa tuishi nao kwa akili hawa viumbe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom