Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,191
Fedha ndio Limbwata kwa Mwanamke.Naomba nikiri, sijawahi kusikia tangu nimezaliwa, mwanaume ameenda kwa Mganga ili kumuwekea mke limbwata au mapenzi yakolee, Kuna nini hapa?
Fedha ndio Limbwata kwa Mwanamke.Naomba nikiri, sijawahi kusikia tangu nimezaliwa, mwanaume ameenda kwa Mganga ili kumuwekea mke limbwata au mapenzi yakolee, Kuna nini hapa?
Mwingine anadaiwa boxes huko sasa sijui alikuwa akitembea chukuchuku?
Si utani, wanaume pia wanadanga hasa hawa wa jiji la makonda.
Ndio maana nimetolea mfano hapo kwenye bandiko langu.
Ila hawa wengi wao ni kina juma lokole ( chakula).

Si utani, wanaume pia wanadanga hasa hawa wa jiji la makonda.
Ndio maana nimetolea mfano hapo kwenye bandiko langu.
Ila hawa wengi wao ni kina juma lokole ( chakula).
Halina ubishi hili.Hata sio kina juma,wengine wanajifunza kutia vizuri kitandani, deki la maana mahaba kama yote, utafungwa viatu yaani utalambwa kila pembe za mwili, jamaa anatengeneza mazingira ya kudanga.
Maana anajua akimkoleza mwanamke ataonewa huruma atapewa.
Wengi sana mjini hapa wanaishi kwa staili hiyo, yaani unaweza kuona mkaka amepost instagram au twitee ukasema mkaka anajituma anajielewa kumbe kazi yake kujionesha hard working kwa watu lakini really life kabisa anadanga, mdangaji.